GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe una chuki na Chadema tu, mleta uzi huu ni mccm, Polepole muasisi wa hoja ya Mpina kwenda ACT Wazalendo kuwa ni ya CCM naye ni mccm na pia hao Chadema unaowatwika lawama hawashiriki huu uchaguzi. Punguza chuki .
Ukiwa mfia chadema/ccm hutonielewa
 
Ni wapi umeona Polepole anasifiwa ili ajiunge cdm? Huyo ni mfuasi wa Magufuli walioshirikiana kuharibu demokrasia ya vyama vingi hapa nchini. Watu wanachochea kuni na sio kumtaka ajiunge na cdm. Hao wahuni toka ccm kwenye cdm ya Lisu hawana nafasi. Usidhani cdm hii ni ya Mbowe mzee wa siasa maslahi.
Kwan kwa lowassa mlisemaje na bado akajiunga na chadema na mkampa kugombea urais 😂
Kuna utofauti gn na h ya polepole
 
Kwan kwa lowassa mlisemaje na bado akajiunga na chadema na mkampa kugombea urais 😂
Kuna utofauti gn na h ya polepole
Huna ujualo, kabla ya Lowassa ni nani alifanya hivyo toka ccm? Nyalandu si alitoka ccm, alipata nini? Halafu soma ulewe nilichoandika.
 
Huna ujualo, kabla ya Lowassa ni nani alifanya hivyo toka ccm? Nyalandu si alitoka ccm, alipata nini? Halafu soma ulewe nilichoandika.
Akili zitawakaa vzr tuu, msifieni polepole sasa hv afu siku akihama ccm na kuhamia pengine tofauti na chadema mje na matusi yenu kama mnavyofanya kwa Mpina sasa hv
 
Akili zitawakaa vzr tuu, msifieni polepole sasa hv afu siku akihama ccm na kuhamia pengine tofauti na chadema mje na matusi yenu kama mnavyofanya kwa Mpina sasa hv
Huna ujualo, ni wapi Polepole anasifiwa ili ajiuge na cdm, huyo ni mshenzi wa sukuma gang aliyechoka kutawaliwa na Samia. Hakuna mwanacdm anataka ajiunge nayo. Na hata akijiunga hiyo ni haki yake, lakini nafasi ya kugombea hapo kwa hapo haipo eti kisa kahitilafiana na ccm wenzake.
 
Wakati mnasema lowassa ni fisadi mlijua atakuja chadema na kugombea urais?
 
Sikujua na wala sijawahi kuunga mkono utoto ule wa Mbowe, hata hivyo hilo sio mjadala huu. Narudia tena, soma nilichoandika uelewe na sio kuokoteza maneno.
Ukisoma Ww inatosha
 
Upo sahihi, kuna ujinga ACT eti wamekataa DEDs wasisimamie uchaguzi na badala yake DEDs wanateua wakuu wa idara waliochini yao pamoja na officers wengine, yaani HoD atakataa maagizo ya DED? eti unaita kuna uchaguzi badala ya utapeli na ulaghai tupu
Mpina ni Shibuda mwenye umri mdogo.
 
Chadema mbona munateseka kiasi hicho? mwanzo mulikua munamshabikia, kwa kuwa tu hajaja chama chenu ndio imekuwan nongwa
Sidhani kama CHADEMA walitaka aende kwao kwa sababu msimamo wao ni kutoshiriki uchaguzi. ACT siyo chama cha upinzani tena. Huku bara, ni kama hakipo isipokuwa kibaraka Zitto na wafuasi wachache sana. Visiwani walishaingia kwenye serikali ya umoja hivyo usitegemee tena wajipinge wenyewe...
 
Back
Top Bottom