GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Binafsi sidhani kama mpina na wengine ni project,ebu tujiulize kwanza awe project ili iweje kwa faida zipi na nani ananufaika?? Nijibuni kwa mwenye kujua.
Mi naamini kabisa kungekuwa na katiba bora ( kama ilivyo kuwa rasmu ya warioba,ingepitishwa), kusingekuwa na mashaka na hizi zana zinazojirudia mara kwa mara,, mpina kaenda huko kwa kuwa hana namna,kungekuwa na nafasi za mgombea binafsi yasingesemwa haya,,na ikitokea akarudi chama cha kijani kama ilivyokua waheshimiwa wengine,ni kwakuwa hana kimbilio jingine, maana kwa mazingira ya sasa yafaa mtu uwe na roho ngumu sana, kuendelea kuwa katika upinzani huku ukijimwambafai dhidi ya mamlaka,utoboi,huku ukaendelea kufanya shughuli zako binafsi kwa uhuru uku uko upinzani,utoboi..
 
Upo sahihi, kuna ujinga ACT eti wamekataa DEDs wasisimamie uchaguzi na badala yake DEDs wanateua wakuu wa idara waliochini yao pamoja na officers wengine, yaani HoD atakataa maagizo ya DED? eti unaita kuna uchaguzi badala ya utapeli na ulaghai tupu
Maajabu aisee!!!
 
Chadema mbona munateseka kiasi hicho? mwanzo mulikua munamshabikia, kwa kuwa tu hajaja chama chenu ndio imekuwan nongwa
Chadema waliwafanta nini!? Kila anayewapinga ni Chadema!!! Poepole ni Chadema? Vipi kuhusu Gwajima? Msipokubaliana na ukweli mtakuja kushtuka jua limewaka!
 
Mpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
Mpina anajua kila kitu
 
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Wapi imetajwa CHADEMA? Mbona inawanyima usingizi na wakati haishiriki uchaguzi wenu!? Endeleeni na maigjzo ila soon mtaumbuka
 
Akili zitawakaa vzr tuu, msifieni polepole sasa hv afu siku akihama ccm na kuhamia pengine tofauti na chadema mje na matusi yenu kama mnavyofanya kwa Mpina sasa hv
Polepole ni mbogamboga mwenzio, hana uhusiano wowote na CHADEMA
 
Mi naheshimu mawazo ya kila mtu ikiwa ni haki yake kikatiba, Mpina kaamua kwenda ACT uamuzi wake uheshimiwe

Na cha msingi zaidi tukutane kwenye sanduku la Kura

Sipendi siasa iliyopoa acha watu wachapane kwa hoja na majukwaani tuone nani ana sera bora

Raha ya uchaguzi uchangamke sio uchaguzi utafikiri mnaenda kwenye ndoa ya mkeka
Tukutane kwenye sanduku lipi la kura? Hili linalosimamiwa na wakurugenzi na polisi!? Kuweni serious
 
Mm naona kila chama kibaki na falsafa yake, mambo ya kulazimisha falsafa ya chadema kuwa falsafa ya vyama vingine mnakosea sana
Mabadiliko ya sheria ya uchaguzi siyo hitaji la CDM, ni la wananchi. Ukiona mtu hahitaji hayo mabadiliko basi ni mnufaika wa dhulma inayoendelea.
 
Think again please, you are wrong. Saga inaanzia Tume ya Warioba. Ni nani huyo? Alikuwa Makamu wa Rais Mwinyi na Waziri Mkuu, akafukuzwa kazi na Rais Mwinyi, fagio la chuma, kwa kosa la kutowajibika. Warioba kwa muda kaingia mitaani baadaye Law of the Sea. Then akaibuka skateuliwa na Rais Kikwete. Mwenyekiti wa CCM, akawa Mwenyekiti wa Tume. Huko ndiyo akaibuka Polepole hachoki kusema. Tume ya Warioba ikapendekeza Serkali 3 walizotaka mabeberu kufhoofisha Muungano. Ikaungwa mkono na CUF ya Waarabu (wakati huo) waitawale Zanzibar na CHADEMA ya Wachagga (wakati huo) wajitawale Majimbo ya Ukabila kama county za Kenya. Watanzania wakaikataa wakiongozwa na Kikwete na Pengo, then CUF na CHADEMA wakajitoa as expected. Kwa hiyo unachosema wewe ni mabaki ya Serkali 3 za ema kuvunja Muungano au Ukabila, yaani kina Bagonza (Ukabila, ni Mhutu) na Tundu (vunja Muungano) na Polepole (madaraka, uchu) na wengine waliokosa mlo wao kwa kukataliwa Serkali 3. Kwa hiyo Mpina na Mwalimu hawawezi kuwa watu wa CCM, think again please.
Upeo mdogo mno
 
Wapi imetajwa CHADEMA? Mbona inawanyima usingizi na wakati haishiriki uchaguzi wenu!? Endeleeni na maigjzo ila soon mtaumbuka
Mm niendelee na maigizo gn kwan umesikia mm n mgombea au nipo huko kwenye tume?
 
Binafsi sidhani kama mpina na wengine ni project,ebu tujiulize kwanza awe project ili iweje kwa faida zipi na nani ananufaika?? Nijibuni kwa mwenye kujua.
Mi naamini kabisa kungekuwa na katiba bora ( kama ilivyo kuwa rasmu ya warioba,ingepitishwa), kusingekuwa na mashaka na hizi zana zinazojirudia mara kwa mara,, mpina kaenda huko kwa kuwa hana namna,kungekuwa na nafasi za mgombea binafsi yasingesemwa haya,,na ikitokea akarudi chama cha kijani kama ilivyokua waheshimiwa wengine,ni kwakuwa hana kimbilio jingine, maana kwa mazingira ya sasa yafaa mtu uwe na roho ngumu sana, kuendelea kuwa katika upinzani huku ukijimwambafai dhidi ya mamlaka,utoboi,huku ukaendelea kufanya shughuli zako binafsi kwa uhuru uku uko upinzani,utoboi..
Kwmaba hujui ni project ya nani kwa manufaa ya nani!!!??? Kuwa serious aisee.
Mpina ni project ya CCM kwa maslahi ya CCM na washirika wao.
 
Mm niendelee na maigizo gn kwan umesikia mm n mgombea au nipo huko kwenye tume?
Endeleeni na maigizo yenu ya kushindana na vibaraka wenu kwenye "uchafuzi mkuu" ila mjue wananchi wanajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom