Mpima ardhi anapatikana

Mpima ardhi anapatikana

Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni vigumu mimi nafanya kazi kwa condition ifuatayo

1.Utalipia hela ya ukaguzi wa eneo lako ili kujua kama linapimika ama la arround 100k-150k kwa dar(kutokana na location ya site ilipo)

2.kama eneo lako linapimika na halina mgogoro wowote basi tutaandikishiana kwa mwanasheria nitafanya kazi kwa gharama zangu mpaka nitakapokukabithi approved plan yako..baada ya hapo utanilipa changu

Nafanya hivi kwa vile mtu kama hakujui sio rahisi kukuamini 100% ila kama upo interested tufanye kazi maisha yaende

My contacts
0787935399(whatsapp+calls)
Kilimanjaro utafika?
 
Shamba LA ekari nne linaweza kugharimu kiasi gan mpka kupata hati? Liko kagera mkoan
 
2m? Hawa jamaa wanaopima huku mjini (kupitia serikali za mtaa) kwa gharama ya laki 2 ni matapeli au?
 
Nina kashamba kangu heka na nusu mkuu Mlandizi, itagharimu kiasi gani kupima?
 
2m? Hawa jamaa wanaopima huku mjini (kupitia serikali za mtaa) kwa gharama ya laki 2 ni matapeli au?
Hapo mnashare cost kwa vile mpo wengi..maana bei ya kupima kiwanja kimoja kama ni 1.5M hata kama vipo 20 kwa eneo moja basi haizidi 2.5M..kama vipo block moja ndio rahisi zaidi
 
Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni vigumu mimi nafanya kazi kwa condition ifuatayo

1.Utalipia hela ya ukaguzi wa eneo lako ili kujua kama linapimika ama la arround 100k-150k kwa dar(kutokana na location ya site ilipo)

2.kama eneo lako linapimika na halina mgogoro wowote basi tutaandikishiana kwa mwanasheria nitafanya kazi kwa gharama zangu mpaka nitakapokukabithi approved plan yako..baada ya hapo utanilipa changu

Nafanya hivi kwa vile mtu kama hakujui sio rahisi kukuamini 100% ila kama upo interested tufanye kazi maisha yaende

My contacts
0787935399(whatsapp+calls)

Kwa Dar uko wapi ? nafikiria kukucheki weekend nikuchukue ukaone site
 
Back
Top Bottom