Mpima ardhi anapatikana

Mpima ardhi anapatikana

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni vigumu mimi nafanya kazi kwa condition ifuatayo

1.Utalipia hela ya ukaguzi wa eneo lako ili kujua kama linapimika ama la arround 100k-150k kwa dar(kutokana na location ya site ilipo)

2.kama eneo lako linapimika na halina mgogoro wowote basi tutaandikishiana kwa mwanasheria nitafanya kazi kwa gharama zangu mpaka nitakapokukabithi approved plan yako..baada ya hapo utanilipa changu

Nafanya hivi kwa vile mtu kama hakujui sio rahisi kukuamini 100% ila kama upo interested tufanye kazi maisha yaende

My contacts
0787935399(whatsapp+calls)
 
Bei gani kupima kwa dar?
 
Bei gani kupima kwa dar?
Inategemea na kiwanja ukubwa wake,kama kuna adjacent survey inakua vizuri na pia kama kuna mchoro wa mipango miji wa eneo lako pia gharama zinapungua..2M-1.5M(hio ni bei hata ya kupima viwanja zaidi ya kimoja kama vipo sehem moja) inategemea na eneo,pia mazungumzo yapo kama eneo halina complications sana
 
Jirani yetu kuna jamaa kapima na kauza viwanja vyake,kama hatuna hela ya kukulipa, utakuwa tayali tukupe kiwanja kimoja? kama ajira yako baada ya kufanyika kazi
 
Hata hivyo sio mbaya..muhimu ni makubaliano tu mkuu
 
I'm sorry if I will offend you. Sina hamu Na nyie vishoka. Yaani ni wangese wa kutupwa. Kuna jamaa Yaani Mpole Mpaka sasa naendshana nae. No shida. Tena umenikumbusha ngoja nimwendee hewani amefikia wapi Na nimtukane ikibidi. Yaani ulaghai ulaghai umewajaa.
Nukitanguliza sorry lakini.
 
Shukrani mkuu haina shida,maana sijakulazimisha na ndio maana nimesema napima kwa gharama zangu mpaka eneo liwe approved ndio unanipa changu.
 
shamba unapima shilingi ngap? mfano nina mashamba kama eka 50 hivi mkuranga na bagamoyo utanipimia kwa shilingi ngapi hadi kupata hati??
 
Ndio hivyo.uzoefu unaonesha hivyo.wanasumbua sana hawa jamaa.
 
Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral surveying,topographic surveying,engineering surveying,GIS and etc..vile maisha ya sahivi kuaminiana imekua ni vigumu mimi nafanya kazi kwa condition ifuatayo

1.Utalipia hela ya ukaguzi wa eneo lako ili kujua kama linapimika ama la arround 100k-150k kwa dar(kutokana na location ya site ilipo)

2.kama eneo lako linapimika na halina mgogoro wowote basi tutaandikishiana kwa mwanasheria nitafanya kazi kwa gharama zangu mpaka nitakapokukabithi approved plan yako..baada ya hapo utanilipa changu

Nafanya hivi kwa vile mtu kama hakujui sio rahisi kukuamini 100% ila kama upo interested tufanye kazi maisha yaende

My contacts
0787935399(whatsapp+calls)
Hakika uko kwenye mstari mzuri mkuu. Hiyo ndiyo maana ya elimu. Sio kukariri tu kuwa lazima kuajiriwa. Kwa umri wako utafika mbali. Songa mbele.
 
Back
Top Bottom