Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Dada ina elekea wewe ndiyo unaishi in the past. Wenzio we are in the 21st century wewe upo karne ya 20? Welcome to the new century Sasha and be careful what you write laa sivyo utaonekana old timer kuliko hao unao waita pld timers.

typing error.thank you.
Na usisaha kupiga kura kwa Teddy please.
And have a goodday.
 
duuuh...MwanaFA kwa mipasho tu naye... hachezi mbali

I'm a "bongo flava artists" remember? hamna siyo mipasho ila ni vizuri kusahishiana. Some times a little thing can divert attention from what is probably a very good point.
 
Of course namu-enzi Mwalimu nyerere lakini siyo ndiyo basi hata kama mtu unataka kufanya kitu uache kufanya kisa mwalimu nyerere hakupenda hivyo?nani kasema?.

Alafu basi binti wa watu hayupo uchi mbona yupo covered.haya ndiyo yale mambo kama yale watu wanafanya MISS tanzania wakaanza ooh kuvaa bikini ni uhuni,mimi nadhani nyie wanaume mnakuwa mnashikwa na mfadhaiko ndiyo maana mnakuwa mnapinga sana.Mbona nyie mwavaa boksa?ha wala watu hawalalamiki?
Huu ni uzalilishaji kabisaaaa!!Hivi jamani,tujiulize na tuwaulize watu wenye fani husika kama hii ni mojawapo ya qualification inayohitajika kwa mtu kuwania nafasi ya Utangazaji wa TV then kama ni ndiyo'TK atakuwa sahihi.Lakini,ninachojua mimi hakuna sifa za kupiga picha za nusu uchi katika kuomba kazi ya utangazaji katika TV.
Halafu wewe Sasha.... hivi kupiga picha za uchi kuna uhusiano gani na maendeleo ya mtu au Taifa?Nijuavyo mimi elimu/sayansi na teknolojia plus kazi nyingine halali na udhibiti wa mapato na matumizi ya shughuli anazofanya mwanadamu mahali alipo=maendeleo.
Halafu nashangaa unavyomtetea TK as if ni member of her family na plus anakuwa kila kitu anachofanya anakwambia;ukweli ni kwamba wewe ni mweupe katika hii taarifa hata comments zako zinaonyesha udhaifu ulionao kuhusu hii mada.
 
Kiuyajibu umemaliza kila kitu mimi nahisi huyo atakuwa mpambe wake tu bila shaka.
 
Huu ni uzalilishaji kabisaaaa!!Hivi jamani,tujiulize na tuwaulize watu wenye fani husika kama hii ni mojawapo ya qualification inayohitajika kwa mtu kuwania nafasi ya Utangazaji wa TV then kama ni ndiyo'TK atakuwa sahihi.Lakini,ninachojua mimi hakuna sifa za kupiga picha za nusu uchi katika kuomba kazi ya utangazaji katika TV.
Halafu wewe Sasha.... hivi kupiga picha za uchi kuna uhusiano gani na maendeleo ya mtu au Taifa?Nijuavyo mimi elimu/sayansi na teknolojia plus kazi nyingine halali na udhibiti wa mapato na matumizi ya shughuli anazofanya mwanadamu mahali alipo=maendeleo.
Halafu nashangaa unavyomtetea TK as if ni member of her family na plus anakuwa kila kitu anachofanya anakwambia;ukweli ni kwamba wewe ni mweupe katika hii taarifa hata comments zako zinaonyesha udhaifu ulionao kuhusu hii mada.

Asante kiuyajibu kw akuweza kujua hivyo kuwa mimi ni mweupe katika taarufa hii.je wewe mwenzangu uliye mweuisi kwenye hii taarifa unatoa comment gani?.licha ya hiyo kwa yeye kuvaa bikini ni kosa?maana naona watu ndiyo mnachopigania TK kuvaa bikini.na sijasema ndiyo maendeleo ya taifa nimesema kuwa kunampa kula ana hustler kivyake kuliko kuwa FIsadi.Hiyo issue ya maendeleo ya taifa umeleta wewe.

ok wewe je umefanya nini kuleta maendeleo ya taifa?
 
Huu ni uzalilishaji kabisaaaa!!Hivi jamani,tujiulize na tuwaulize watu wenye fani husika kama hii ni mojawapo ya qualification inayohitajika kwa mtu kuwania nafasi ya Utangazaji wa TV then kama ni ndiyo'TK atakuwa sahihi.Lakini,ninachojua mimi hakuna sifa za kupiga picha za nusu uchi katika kuomba kazi ya utangazaji katika TV.
Halafu wewe Sasha.... hivi kupiga picha za uchi kuna uhusiano gani na maendeleo ya mtu au Taifa?Nijuavyo mimi elimu/sayansi na teknolojia plus kazi nyingine halali na udhibiti wa mapato na matumizi ya shughuli anazofanya mwanadamu mahali alipo=maendeleo.
Halafu nashangaa unavyomtetea TK as if ni member of her family na plus anakuwa kila kitu anachofanya anakwambia;ukweli ni kwamba wewe ni mweupe katika hii taarifa hata comments zako zinaonyesha udhaifu ulionao kuhusu hii mada.

Haujiulizi kwa nini wazungu wameendelea zaidi? Cause wana kazania mambo ya science and technology. Lakini uki chukulia mfano Marekani, most black kids who grew up poor wakiulizwa wao they aspire to be rappers, NBA players and that sort lakini wachache wata sema wana taka kuwa doctors, lawyers or whatever. I don't know for some reason baadhi ya waafrika au watu weusi tuna different definition ya maendeleo. I guess we have to change our mentalities before we can change our countries.
 
[/SIZE][/COLOR]

tsk tsk tsk tsk weeeh watanzani kwa gossip wameshinda so hapa kavaa bikini mnasema yupo uchi na kwamba hana maendeleo uh?.angetokea kavaa suti sijui napo mngesemaje.Anyways ni maisha yake na aliyeweka post kaomba mmsaidie kumpigia kura matokeo yake anakuwa judged na picha alizopiga woooooooooooooow heka heka.labda abadilishe major na kuwa Lawyer ndiyo ata make sense,

tutafika kweli?
 
Wala you are getting it all wrong. Mtu siyo lazima awe lawyer or whatever kuleta maendeleo. She can wear a bikini or even be completely naked for all she wants.My point is her wearing a bikini is not what I will regard as maendeleo and frankly I wouldn't aspire or look up to her kusema I want to be just like her. But she is doing her own thing and that's cool but I just wouldn't define it as maendeleo. Like I said, we all have different efinition of maendeleo. If to you hayo ni maendeleo it's ok.
 
Hehehehee..yeah...kwa wengine kuvaa hivyo vi bikini na vi tikini ndo maendeleo atii...maendeleo ya kijamii na kimtazamo. Hapo ndipo unpotenganisha akili za watu...
 
Wala you are getting it all wrong. Mtu siyo lazima awe lawyer or whatever kuleta maendeleo. She can wear a bikini or even be completely naked for all she wants.My point is her wearing a bikini is not what I will regard as maendeleo and frankly I wouldn't aspire or look up to her kusema I want to be just like her. But she is doing her own thing and that's cool but I just wouldn't define it as maendeleo. Like I said, we all have different efinition of maendeleo. If to you hayo ni maendeleo it's ok.

Naona mnaniwekea maneno mdomoni ambayo sijasema miye sijatamka neno "MAENDELEO".aktoka kazi yake anayotafuta nimesema as along as "ana hustler kicyake na siyo fisadi".lakini naona mngangangania sana nimesema kuwa kuvaa bikini ni kuleta maendeleo kwa Taifa.

kwenye hiyo blue keep in mind sijatamka kuwa whatever she is doign kuna leta maendeleo,acheni kunipandikizia maneno tafadhali na wala hilo neno halikuwa kichwani kwangu mtu tuu kaja na kuanza kunifokea kuwa nimesema kuwa as long as analeta maendeleo kwa taifa sijatamka hivyo ila nitasema kweli daima fitina kwangu mwisho kuwa akae apige picha za uchi ajiuze ni yeye as long as hajakuibia wewe au mimi ni kivyake tuu anatafuta ridhiki yake.
 
Sorry but inabidi tu ni comment my dear Sasha.

I believe the write word hapo ni "hustle" na si hustler (noun). Ni kwa kuwa umeirudia rudia mara kadhaa nikifikiri labda hapo mwanzo ilikuwa typo tu. All the best!
 
Sorry but inabidi tu ni comment my dear Sasha.

I believe the write word hapo ni "hustle" na si hustler (noun). Ni kwa kuwa umeirudia rudia mara kadhaa nikifikiri labda hapo mwanzo ilikuwa typo tu. All the best for what you do!

asante na nadhani itakuwa vizuri kama nikikuajiri uwe unaangalia ninavyo andika makosa pia,nadhani itakufaa sana hiyo position tuma cv yako tafadhali.
 
Sorry but inabidi tu ni comment my dear Sasha.

I believe the write word hapo ni "hustle" na si hustler (noun). Ni kwa kuwa umeirudia rudia mara kadhaa nikifikiri labda hapo mwanzo ilikuwa typo tu. All the best for what you do!

Basi imetosha sasa. Mwacheni kumshikia bango dada wa watu..keshawaambia yu mjamzito...mtamsababishia mi stress bure.
 
Samahani kama nimekosea kukusahihisha. All the best either way.

wala hujakosea my dear friend ila kukosoana ni vizuri na ndiyo naona ni bora nikikuajiri ukawa msaidizi wangu kwenye suala hilo.

na wala siyo kwa kiugomvi SteveD trust me.Ila najua kuna watu wataanza kushabikiia sana.Niwie radhi kama nimeku-offend.
 
wala hujakosea my dear friend ila kukosoana ni vizuri na ndiyo naona ni bora nikikuajiri ukawa msaidizi wangu kwenye suala hilo.

I'm interested. Naomba unipatie description ya kazi kwa upana zaidi, hata kwa PM ukiweza. Thanx!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom