Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Yo Yo,

Acha kujipendekeza kwa watu usiowafahamu.

Yaani umejipendekeza kwa NN na Masanilo nilifikiri imetosha lakini bado tu.

Sasa umeibukia kwa TK? Hata kwa hicho kitoto nacho unajilamba vidole? Kama MPare vile na picha ya samaki ukutani...........
 
attachment.php
 
tehe tehe tehe tehe naona umelipa......sina tabia ya kujipendekeza kwa watu....ushapiga kura?
 
Lol wakuu fidel na cathbelt nyingine niliweka rizevu tehe tehe mmeziibua....
 
Huyu mtoto ni mpiganaji haswa, katoka mbali and so far she has been doing very well. Can u imagine kutoka Bingo -ITV mpaka Holywood si mchezo. Keep it up baby!!
 
Lol wakuu fidel na cathbelt nyingine niliweka rizevu tehe tehe mmeziibua....

Nakumbuka hili toto enzi za Utamu wa kujing'ata ulimi lilikuwa ndo super star kule dah mazee walikuwa wanalipaisha sana.
 
tehe tehe tehe tehe naona umelipa......sina tabia ya kujipendekeza kwa watu....ushapiga kura?

Sijalipa bado.

Kura sijapiga bado ila maadamu umeiuliza, basi usije kusema nilikuwa hapa ili nilipe kisasi. Napitia huko kwa mshikaji wako huyo TK nikampigie.

By the way huyu ni nani? Ngoja nimtafute kwenye Google nifahamu kwanza nani nampa kura yangu.

Sasa wewe siku zote huwa huelewi maudhui ya mtu. Nimekuandikia "Mtoto kakaa kama Samaki wa Wapare aliyechorwa ukutani..... wewe wamega tu tonge na kufaidi PEREGE wako." Hebu angalia picha zako, zote hicho ki-TK kimesimama ukutani. Ngoja na mie niwe Mpare nifaidi tu kwa macho, Kiperege kilichosimama UKUTANI.

NB: Nimempa Point 10, nafikiri zinamtosha. Nilitaka 11 ila wakasema hii si timu ya Mpira wa miguu.
 
Last edited:
Ngoja na mie niwe Mpare nifaidi tu kwa macho, Kiperege kilichosimama UKUTANI.
tehe tehe tehe wanyamwezi mkishakaa pwani mnaharibikiwa akili......humuoni Six6

anyway binafsi sijapendezewa na picha zake zingine maana ni nyuchi wazi wazi kabisa......
 
Ila hicho ki bikini na ki lingerie chake cha bei rahisi aiseeee.....anatakiwa apigiwe shopping spree la nguvu na hatakiwi kuvaa bikini au lingerie zaidi ya mara mbili. Hizo alizovaa dizaini zimeshafuliwa sana!!
 
Hivi wajemeni ..anyway this is not my type,,hapa namuunga mkono NN kwenye mawezele,,

Sasa izo picha ndo atakuwa anatangaza ivo kwen iyo TV au inakuwaje, manake kuna nyingine apo kapiga naona na kitanda pembeni as if ni maandalizi ya mambo yetu yale...eeh? au ndo 2 in 1?
 
Unaona sasa Komredi...afadhali umesema wewe. Hiki kishori ni zeutamu type!! Halafu eti tunaambiwa tukipigie kura...shiiiit

Yo Yo atakuja na kukanusha hapa hivi huyu hayupo kwenye list ya uncle Lyiumba komredi?
 
Mi bado mgeni kidogo hapa mjini. Kuna connection yoyote kati ya hizi picha za nyuchi na kazi hiyo ya TV presenter?,msaada pls...au ni makengeza yangu si wameandika spike TV hapo juu?
 
Mi bado mgeni kidogo hapa mjini. Kuna connection yoyote kati ya hizi picha za nyuchi na kazi hiyo ya TV presenter?,msaada pls...au ni makengeza yangu si wameandika spike TV hapo juu?

5644d1250714178-mpigie-kura-teddy-kalonga-spike-tv-69310.jpg

mazee naomba ufafanuzi kuwa mtangazaji hiyo T.V,lazima upige picha kavu namna hii watu waone maumbile au?mi mwenzenu bado mshamba sana mweeeh

Mi ndo nimeuliza, ila sasa nadhani wajuaji watadai huo ndo utamaduni wa huko....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom