Mpigie kura Rais Magufuli kwenye Forbes Africa Person of the year

Magufuli amegonga asilimia 84 za kura. Shindano limeshafungwa. Akina Yericko Nyerere, Ben Saanane n.k sasa chali, ndembendembe kifo cha mende, kwisha kazi yao.
 
Wiki iliyopita kulikuwa Na patashika nguo kuchanika.Kila Mtandao Pigeni kura , Pigeni kura.Hatimaye Kimyaaaa kulikoni hapo Lumumba? Tunaomba mtujuze Upigaji kura umefikia wapi? Au bado zinahesabiwa Na mshindi atatangazwa lini Na wapi? Mshindi atapata zawadi gani? Tunaomba mtufahamishe kwani tumetumia haki Yetu ya kidemokrasia.
 
Kama hiki kinachoendelea kuhusu tuzo hizi za Forbes ni jambo la kweli,binafsi natamka wazi kuzidharau tuzo hizi na nimepoteza kabisa imani na waandaji wa tuzo hizi.

Napendekeza uchunguzi ufanyike juu ya nama nzima ya kuwapata washiriki wa tuzo hii maana naona mchakato huu umefanywa bila weledi na hawaitendei haki Africa na watu wake.

Nina imani hata waandaji wa Miss Tanzania wanaweza kuwa makini kuliko waandaji wa hii tuzo.
 
wachana nazo....... fanya mambo ingine mbwa ukimjua jina hakusumbui
 
Kama hiki kinachoendelea kuhusu tuzo hizi za Forbes ni jambo la kweli,binafsi natamka wazi kuzidharau tuzo hizi na nimepoteza kabisa imani na waandaji wa tuzo hizi.

Napendekeza uchunguzi ufanyike juu ya nama nzima ya kuwapata washiriki wa tuzo hii maana naona mchakato huu umefanywa bila weledi na hawaitendei haki Africa na watu wake.

Nina imani hata waandaji wa Miss Tanzania wanaweza kuwa makini kuliko waandaji wa hii tuzo.
Ha ha ha, sasa msemo ndio umekua huu? Na bado; utaumia sana kabla ya 2020, utakapopata wasaa wa kuzungusha mikono.
 
Back
Top Bottom