Mpiga picha nzuri anahitajika

Mpiga picha nzuri anahitajika

Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing.

Idadi ya picha ni nne tu

Tupo mikocheni
0679464974
Kumbe ni temporary work dooh
 
Back
Top Bottom