Mpiga Picha Mweusi Azomewa Kwenye Mkutano wa Republicans! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpiga Picha Mweusi Azomewa Kwenye Mkutano wa Republicans!

Discussion in 'International Forum' started by Boflo, Aug 30, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Mfuasi wa Ron Paul mara kabla ya kutolewa kwenye Mkutano Mkuu wa Republicans jana.....[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Republicans ni wabaguzi. Hawajali maslahi ya maskini, weusi au wenye rangi!
  Hebu ona yaliyotokea kwenye mkutano wao wa kumteua mgombea Rais. Mpiga picha mweusi, mwanamke, karushiwa karanga na kuambiwa, "Hivyo ndivyo tunavyolisha wanyama!"

  Juzi, Romney alisema kuwa hakuna aliyeuliza kuhusu cheti chake cha kuzaliwa. Hiyo ni statement ya kibaguzi! akimaanisha kwa kuwa yeye ni mzungu...
  Kwa habari zaidi bofyalo hapa.....Republican Convention marred by racist act against CNN black camerawoman - National Political Buzz | Examiner.com
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Brainwashing ni mbaya sana.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Good wanazidi kujimaliza hata kabla ya kuingia dimbani. Kama wamarekani watakuwa wehu wachague Republicans waliozamisha nchi ile shauri yao. Obama akishindwa namshauri aende China akafanye kazi ya kufundisha wachina mambo ya uongozi.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Alizomewa kwa vile rangi yake ni nyeusi au alizomewa kwa sababu zingine?
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  tunajiaweka wenyewe kwenye kikaango

  sidhani kuwa alizomewa sababu ya rangi

  sometimes hawa ndugu zetu hata akikamatwa kwa kosa la kweli, cha kwanza anakimbilia rangi............ you wont stop being regarded as inferior by continuously emphasizing that you are inferior
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  Nn mtu hadi karushiwa karanga? Ama unataka arushiwe hadi ndizi ndio utajua kuwa wanamaanisha nini?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Democrats ni watu wa ajabu sana. Yaani wako so hung up on race kiasi kwamba nadhani wao ndiyo racists wakubwa na wanachofanya ni ku project hizo biases zao kwa kuwatupia shutuma Republicans.

  Sasa hebu ona huyu jinga wa yahoo. How can you even joke about something like that? Na mimi nimeshasema mara mia kidogo hapa kuwa huyo Obama akishindwa huu uchaguzi watu mtalia kuwa kashindwa kwa sababu ya ubaguzi.


   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ushahidi uko wapi kuwa karushiwa karanga kwa sababu ngozi yake ni nyeusi?

  Na kwa nini yeye tu ilhali weusi ambao ni Democrats kama akina Donna Brazille na Roland Martin wapo kwenye hiyo convention?

  Acheni victim mentality nyinyi. Siyo kila kitu kinachomtokea mweusi sababu ni ubaguzi tu.
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  wanatumia token ya rangi kugawa watu zaidi
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sema wewe bana maana sie wengine tukisema tunaonekana mahayawani.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  How can it not be racist when they called her an animal? The true colors of the Republican party came out and showed us how women/ blacks/ hispanics & minorities are viewed.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  una ushahidi? au na wewe umezama kwenye siasa za makimba za mitt na barack
   
 13. L

  LIBRARY JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  "Hivyo ndivyo tunavyolisha wanyama!". Is that not enough Mr Judge?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kadi za siasa mkuu.... hebubgugo
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  watu wengine bana...sasa mpiga picha mweusi katukanwa afu unasema democrats ndio racists.....:sleepy:
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  haya mambo ya ushahidi ndio maana wakina mramba wateendelea kupeta mahakmani...kuna msela mmoja alikuwa anakanyagiwa mkewe...watu wanamuambia anabisha anawaambia walete ushahidi...siku moja jamaa walikuwa wanakula deo kumbe mkewe jamaa alikuwa anavunja amri ya 6 na mpango wa kando...akaitwa jamaa.....

  jamaa alipoona akaendelea kubisha akasema mnaniambia mke wangu anazini na mipango ya kando.....mbona pale naona kama imeingia kwenye tundu jingine?......aisee akaachwa na akili zake......

  Angalizo:huu mfano hausiani hata kidogo na nyani ngabu....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa na cognition imara ungenielewa.....
   
 18. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hii haiwezekani, Mitt Romney mwenyewe ni Hispanic.
  Angalia hapa: Could Mitt Romney be America's first Hispanic president? - CNN.com
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Go and learn USA politics. You don't know a thing.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
Loading...