Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Hebu watu wa sheria mtujuze hapa...
Bw Felix Mtenga ambaye ni mpiga picha na mwandishi wa habari wilayani Rombo amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kupiga picha kwenye mkutano wa CCM bila kibali!!!
Hivi waandishi wanahitaji vibali kupiga picha kwenye mikutano ya hadhara?!!!