Mpiga Picha Mweusi Azomewa Kwenye Mkutano wa Republicans!

Mfuasi wa Ron Paul mara kabla ya kutolewa kwenye Mkutano Mkuu wa Republicans jana.....

Republicans ni wabaguzi. Hawajali maslahi ya maskini, weusi au wenye rangi!
Hebu ona yaliyotokea kwenye mkutano wao wa kumteua mgombea Rais. Mpiga picha mweusi, mwanamke, karushiwa karanga na kuambiwa, "Hivyo ndivyo tunavyolisha wanyama!"

Juzi, Romney alisema kuwa hakuna aliyeuliza kuhusu cheti chake cha kuzaliwa. Hiyo ni statement ya kibaguzi! akimaanisha kwa kuwa yeye ni mzungu...
Kwa habari zaidi bofyalo hapa.....Republican Convention marred by racist act against CNN black camerawoman - National Political Buzz | Examiner.com

wamarekan wote ni wabaguz bhana,au wazungu kwa UJUMLA WAO
 
Hii haiwezekani, Mitt Romney mwenyewe ni Hispanic.
Angalia hapa: Could Mitt Romney be America's first Hispanic president? - CNN.com

Babake Romney, George is of German, English and Scottish ancestry, mamake ni German and English ancestry, umetuwekea link kumbe we mwenyewe hata hujaisoma, babu yake romney alimigrate to mexico lakin hakuwahi kupata uraia wa mexico coz laws za mexico hazitoai uraia kwa settlers unless umeingia mexico kama assylum seeker kitu ambacho hakikuwa hvyo kwa babu yake romney
Baba yake romney alizaliwa mexico lakini at the age of 5 familia yao ikarudi marekani, so romney mwenyewe alizaliwa marekani baadae.
Point: Romney hana Latini/hispanic blood much less hajawahi kuwa na uraia wa mexico wala kuishi mexico in his life anachojaribu kufanya ni kuestablish connection na mexico ili ku win votes za Latino population in the US ambao inasemekana wapo around 30% of all eligible voters na anatumia the fact kwamba obama is not popular among Latinos coz of his deportation policies kali za kuwarudisha Mexico wote wanaovuka mpaka wa Mexico kuingia jimbo la Texas Marekani bila permit kwa lengo la kutafuta maisha mazuri, so hzo ni political propaganda tu but ROmney is not Hispanic.
Hili la Republican kuwa wabaguzi cjapata uhakika sana ol I know ni kwamba hiko chama ni majority white Caucasian na hizo zote ni influence za historical reasons tangu enzi za utumwa na civil war ya 1860s
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom