McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,551
Serekali ndio chanzo mbona sehemu walizotoa ramani pako vzr.Wewe kijijini utakaa halafu udake kumbikumbi.Mda mwengine mimi nashindwa kuilaumu serikali, aliesababisababisha hayo maji yakae hapo ni nani? Kwani lazima kuishi mjini? Watu tunajenga ovyo likitokea tatizo tunasema serikali....