Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 733
Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo mida ya saa moja moja hivi dirishani mwa watu waliokuwa wanafanya mapenzi. Kaendelea kula uhondo, mara mtu akawa anapiga hodi mlango wa kile chumba. Mwanaume akamuambia mkewe akamsikilize mpiga hodi, ile mwanamke anaanza kujiandaa kwenda tu jamaa mpiga chabo akajikuta ameropoka " aaah, achana nae huyoo... "