Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Long time guys niliwamiss, but naamini mko poa
Back to the topic, hapa ni kuomba ushauri, before my marriage nilikua na mpenzi na tulipendana sana but haikua bahati yake kuolewa na mimi na wife alimfahamu hata kwenye wedding yetu alihudhuria.
Miaka mitatu iliyopita alipata nafasi ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi kule Korea na ana mkataba wa seven years actually tunawasiliana vyema hata hunitumia zawadi mbalimbali na tumekua karibu sana kwa mawasiliano.
Tatizo juzi kaniomba nikamsalimie huko na yuko tayari kunitumia ticket muda wowote nitakaokua tayari,najiuliza niende au nisiende coz najua bado ananipenda sana na alishatamka wazi hawezi kiniacha, sasa niko njia panda.