Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Umeona eeh. We Mla Bata umeshapata mwingine au una interest na mwingine ambae unaona mna share those common interest

Hell no, ila kiukweli swala la kufanya maamuzi ya kumove on now ni sawa na kumsukuma mlevi, haitoniihitaji kufikiria sana
 
Hili Ni tatizo kubwa sana kwetu wabongo, sababu kitu cha kwanza mwanamme anaangalia ni mdada katulia na hawezi chepuka na ni loyal. Hii ni kupendea TABIA. Mkishavuka first stage ya tabia, then reality inaset in. Wale unaoendana nao kitabia unaweza kuwa umewaona ni hajatulia type. Its a tough choice; at the end of the day wanawake wengi huwa na ex boyfriends before us. Tunatumia dogma zetu kuchuja tunaoendana nao, sababu ya tabia za nje
 
Guys,I was shocked. Like what the heck is this?!?! Nikajaribu kumjibu lakini nikaona mmmh. Huyu sitamuweza nikaleave conversation huko pm.

Huyo ni kiboko yako, watu wa namna hiyo huwa nawaenjoy sana huku mtaani.
 
Kuna jamaa flani aliwahi niambia unaweza ukawa na mke ila sio mpenzi, nikabisha

Sasa wewe una mpenz ila si rafiki

Wanaume mpaka tuje tuwatimizie vyote, tutakuwa tumeacha kaz tukafanya kaz

invest what you are willing to lose
 
Hili Ni tatizo kubwa sana kwetu wabongo, sababu kitu cha kwanza mwanamme anaangalia ni mdada katulia na hawezi chepuka na ni loyal. Hii ni kupendea TABIA. Mkishavuka first stage ya tabia, then reality inaset in. Wale unaoendana nao kitabia unaweza kuwa umewaona ni hajatulia type. Its a tough choice; at the end of the day wanawake wengi huwa na ex boyfriends before us. Tunatumia dogma zetu kuchuja tunaoendana nao, sababu ya tabia za nje

Mkuu, umezungumza facts hii inawakuta watu wengi sana,
 
Relation yenyewe ndo kwanza ya cku mbili ila kwenye kung'atuka ukakutana na kichambo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasn't a relationship I can say,kwa sababu tuliongea hivo...I mean aliongea yeye sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alivoniuliza if we can make it,I said NO.
 
Wasn't a relationship I can say,kwa sababu tuliongea hivo...I mean aliongea yeye sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alivoniuliza if we can make it,I said NO.

Hehehe eti 'aliongea yeye sana' kwahiyo na wewe ukawa mpenzi msikilizaji??
 
Hujafika vipi na ushaonyesha dalili za kumuacha kwenye mataa..utajiwekeaje possibility ya kumpata utakaependezewa nae by 95-100%?...sijui huyo mwingine akiwa kikojozi pia utaona kero au ni vipi

Sent using Jamii Forums mobile app

Heheh mkuu, nikisema nitampata i mean naweza kuchukua mda kukaa chini kumake it kwa makini ili nipate wa kuendana nae
 
Kuna jamaa flani aliwahi niambia unaweza ukawa na mke ila sio mpenzi, nikabisha

Sasa wewe una mpenz ila si rafiki

Wanaume mpaka tuje tuwatimizie vyote, tutakuwa tumeacha kaz tukafanya kaz

invest what you are willing to lose
Tatizo wapo wanaojiaminisha kupata mpenzi ambae yuko perfect 100% bila ya kasoro yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi ya kwangu yaishe.
Haya turudi kwako, stick with your girl.

Yanaishaje, na usikute mcharuko wako unasoma threa hii saizi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kutokujua mambo mengi ndiko kunakomfanya kutokuwa mzungumzaji.

Angekuwa anajua vitu asingekuwa mvivu kuchangia.

Kwa hiyo suluhisho pekee kwa huyo msichana ni kumfanya ajue vitu na mambo mengi yanayoendelea hapa ulimwenguni .

Unakuta she's not the curious type. Adrenaline yake iko low, karidhika na machache anayoyajua. Kumbadili mtu kazi sana
 
Back
Top Bottom