Mpenzi wangu nimemkuta anabebwa na 'Beach Boy'

Mpenzi wangu nimemkuta anabebwa na 'Beach Boy'

Nasikitika kusema kuwa kwa kufikia hapo umeshapoteza sehemu kubwa ya uanamume wako......ni dhahiri kuwa huyo binti anakuona mwanaume lakini haoni uanamume ndani yako......na uanaume unaonekana kwa matendo ya kiume.......na matendo ya kiume huonenakana pale unaporuhusu akili yako ifanye kazi badala ya moyo.......kwani moyo hupofusha akili ........

Think big take control of your destiny.....
Kwa punishment niliyoitoa jana nafikiri nimefanya jambo la kiume, kwanza nilianzia beach huko huko wote wawili na beach boy, then home nikampa vitasa ndiyo akafunga bag nikampa aondoke.
 
Tatizo beach boys wana skendo chafu lol. Poleeeeeh
 
Kuna mambo ya kuelekezana huwezi pata mtu akafiti kile unachokiitaji kwa 100%. Asilimia kubwa ni kwa kuonyana na kuwekana sawa endapo jambo ambalo hupendi kutoka kwa mwenzako anakuwa anarirudia na kwako halivumiliki hapo ni sahihi kabisa kuanza safari mpya ya mahusiano
 
Ukiweka mbali utoto wa umri. Kuna utoto wa tabia pia.
Kwa tabia hapo nakubari kabisa, kwa sababu mdogo wake ana 22 lkn anajitambua. huu mkubwa naona km boya hajielewi.
 
Kauka tu kwanza. Halafu kama ndio anajifanya ana hasira hivyo,badala atulie mpaka kidume hasira zikupokea,yeye anasepa? Huyo atakuwa hivyo hata ukimuoa,achana nae kauka tu. Tuliza Ball utapata kifaa kingine baadae. Ila usifanye haraka kupata kifaa kipya. Tulia kama miezi isiyopungua mitano
 
Kwa punishment niliyoitoa jana nafikiri nimefanya jambo la kiume, kwanza nilianzia beach huko huko wote wawili na beach boy, then home nikampa vitasa ndiyo akafunga bag nikampa aondoke.
Siku nyingine usithubutu kuunyanyua mkono wako dhidi ya mwanadamu yeyote labda kama kwa kujilinda dhidi ya hatari iliyo mbele yako.......usipodhibiti hali hiyo iko siku itakuletea matatizo makubwa yatakayozaa majuto makuu......

Shujaa ni yule anayedhibiti hasira zake......
 
Shujaa ni yule anayedhibiti hasira zake...

Sasa na wewe umempa ruhusa ya kwenda beach sawa ilikuwaje na wewe ukaenda beach hiyo hiyo tena? Na pia kama unamuona yuko na beach boy kwanini na wewe usiende kumchukua msichana wako ukawa beach boy wake kwa mda huo acha ujinga siku nyingine usifanye makosa dawa ya moto ni moto

Niliamua kwenda beach kuwapitia kwa sababu hawakuwa na usafiri. tulikubaliana saa 11 niwapitie bahati mbaya nilienda saa 10.
 
Siku nyingine usithubutu kuunyanyua mkono wako dhidi ya mwanadamu yeyote labda kama kwa kujilinda dhidi ya hatari iliyo mbele yako.......usipodhibiti hali hiyo iko siku itakuletea matatizo makubwa yatakayozaa majuto makuu......

Shujaa ni yule anayedhibiti hasira zake......
Ni kweli mkuu lkn kuna vitu havivumiliki, mwanamke unampa pesa ya petrol harafu unamkuta anabebwa na mwanaume? wkt mwingine unapoteza control unafanya vitu bila kutegemea.
 
Nimeisikiliza hii ngoma yaani jamaa kama kaimbiwa yeye. Hata hilo tukio la beach nalo lipo kwenye song
nilitaka ajue sio yeye tuu wengine walitamani wazikwe kabla ya kufa kwa matukio ya ufukweni jinsi yanavyokua. Na hapo ana bahati hawakuingia kuogelea pamoja.
 
nilitaka ajue sio yeye tuu wengine walitamani wazikwe kabla ya kufa kwa matukio ya ufukweni jinsi yanavyokua. Na hapo ana bahati hawakuingia kuogelea pamoja.
Halafu jamaa mpk sasa hajui kama anagongewa, kajitoa ufahamu anaongelea kubebwa tu
 
Beach boys sio watu wazuri[emoji23]
Kabisa, yaani mpaka umekuta kabebwa lazima Beach boy amemgonga, huwa wanawapeleka kuleee maji mengi halafu wanapata utelezi kiulainii....upungufu wao kondom hawavai...
 
Wakuu nisaidieni ushauri demu wangu ninaetarajia kumuoa nimempa ruhusa kwenda beach na rafiki zake baadae nikapita huko nikamkuta anabebwa na kijana juu kwa juu nikakasirika nikamtwanga kibao nikarudi home aliporudi home nikamuuliza akajibu eti hapakuwa kitu kibaya. Kwa kifupi nimeumia sana, badala ya kunipa majibu eti amefunga bag ameondoka home eti nimemuonea. Naombeni msaada nani ana makosa?
Ulikosea sana sana KUMTWANGA KIBAO. Ungewaibukia tu, halafu usiseme kitu, ukaondoka zako. Na akikutafuta ungemkaukia. Akija home, ungemkaukia pia. Au ungegomba tu mara moja kumwonyesha makosa yake. Angekulilia sana. Sasa kumpiga ni kosa sana. Kwa hio hapo amekuweza, hata kama yeye ndio alifanya kosa kwanza.
 
Back
Top Bottom