Nimeisikiliza hii ngoma yaani jamaa kama kaimbiwa yeye. Hata hilo tukio la beach nalo lipo kwenye songSikiliza wimbo wa Domokaya na Mandojo - Nizikwe Hai
Ameenda kuanza maisha na beach boy😂Beach boys sio watu wazuri[emoji23]
Mpaka demu anapakatwa kashaliwaHawakufanya sex ulikuwa kumpakata
Aksante sana Kwa ushauriShukuru kwa kuliona hilo mapema, Watu wanapoteza nguvu na rasilimali nyingi sana katika masuala ya mahusiano na kulalama baadae wakati wameshaingia katika ndoa.
Muache aende zake amekuonyesha mambo ambayo. baadae ndio angekua anayaleta ndani mwenu saa hio umeshalishwa limbwata..nk kila kitu wewe umo umo tu.
Miaka 33 Bado una akili ya kipumbav hivo?Yeye 25 me 33
Hawakufanya sex ulikuwa kumpakata
Umenena kiume, aksante sana. umenipa nguvu. manake niliona km nataka kupandwa kichwani. Nitasimamia uamzi wangu ambao ulikuwa sahihi. Japo baade alirudi home lkn akahama room lkn haoni km ana makosa.Kipimo kikubwa cha uanamume sio tu kufanya maamuzi magumu bali ni pamoja na kusimamia maamuzi yako bila ya kujali msukumo wa moyo na ukakasi wa nafsi kwa manufaa ya maisha yako ya sasa na ya baadae......ukiishinda vita hii unatoka kuwa mwanaume na kuwa mwanaume kamili.....
Ukiivuka hatua hii utaishi maisha mazuri na yenye ustawi mzuri pasi na kuyumbishwa na mtu yoyote......
kuna kitu kapewa na beach boy ambacho wewe hua umpi, belive me.badala ya kunipa majibu eti amefunga bag ameondoka home eti nimemuonea. Naombeni msaada nani ana makosa?
Nasikitika kusema kuwa kwa kufikia hapo umeshapoteza sehemu kubwa ya uanamume wako......ni dhahiri kuwa huyo binti anakuona mwanaume lakini haoni uanamume ndani yako......na uanaume unaonekana kwa matendo ya kiume.......na matendo ya kiume huonenakana pale unaporuhusu akili yako ifanye kazi badala ya moyo.......kwani moyo hupofusha akili ........Umenena kiume, aksante sana. umenipa nguvu. manake niliona km nataka kupandwa kichwani. Nitasimamia uamzi wangu ambao ulikuwa sahihi. Japo baade alirudi home lkn akahama room lkn haoni km ana makosa.