ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.
Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.
Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'
ni rahisi sana na wewe ota halafu unamwita dada ambaye ni jirani yenu au beki tatu kabisa halafu uone itakuwaje..