Mpenzi wangu kaota nimekufa

Una maisha marefu...

Na hiyo ni gear ya kutaka ukamchinje jiongeze..
 
Hapana kuota umekufa inaonesha jinsi gani yeye analala na kukuwaza ww tu.

Lakin ndoto huwa ukimuotea mtu A UJUE TATIZO LITAENDA KWA MTU B NA SIO MLENGWA.

Lkn kuotea kifo huwa ni kinyume chake..
 
Siku zote unapoota NDOTO... jizoeshe kukariri saa ulioota hiyo ndoto... Ndoto za kuanzia saa kumi alfajiri hadi mchana zinakuwa sii za kweli..... Labda uwe MTU WA MUNGU SANA TU.... UTAPATA UWEZO WA KUOTA NDOTO ZA UKWELI MUDA WOTE..... unapoota ndoto SAA NANE USIKU hadi SAA TISA NA NUSU usiku.ndoto hizo ni kweli...na..Ndoto hizo zinamaana kubwa sana tu... Maana MUDA HUO ndy WATU WABAYA na malaika wema WANAZUNGUKA......fanyia kazi ndoto unazota mida hiyo... Pia ndoto huwa zinageuka geuka kulingana na mtu mwenyewe... Unaweza ukaota HARUSI..ikawa MSIBA..unaweza ukaota MSIBA ikawa UHAI..mimi nikiota kuna watu wengi nyumbani....ujuwe ni MSIBA.. Ila nikiota mtu kafa basi huwa ni uhai mrefu...na pia unapoota ndoto unapaswa umwambiye mtu unayemuamini ili akutafsirie... Pia unaweza ukaota jambo lakini ni MAMBO YA MIAKA 30 ijayo... Ndoto ni MAONO.....hupaswi kuitangaza tangaza...yasije yakakukuta kama nabii YUSUPH NA NDUGU ZAKE....alipoota akamuhadithia baba yake.. Nae akamwambiya nitakupa tafsiri ya ndoto yako siku moja..na ilipita miaka kadhaa ile ndoto ya YUSUPH ilitimia na ndipo baba yake alipomwambiya tafsiri ya ndoto ile ya UTOTONI..
 
kama ni kweli hajakudanga iyo ndoto basi siku iyo utakuwa ulikula chakula kingi ukashiba,,, ukimuota mtu amekufa anakuwa kashiba.
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi wako
 
Ahsante mkuu nimesoma kila neno katika mchango wa mawazo yako nimekuelewa vizuri ahsnte barikiwa
 
Ahsante mkuu nimekuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…