jacksonEstate
Member
- Apr 1, 2017
- 58
- 52
hahaha usimtishe mwenziohuyo atakua anakuroga mkuu.
hapo anakuandaa kisaikolojia
Ahsante mkuu ni kweli binadamu tumetofautiana ila nimepokea mawazo yakoWatu bhana.....kila mtu na Ubungo wake.......Kwa kuwa swhemu ni ya bure basi kila mtuu anacoment utumbo wake.........watanzania kila jambo huwa tunaona utani ila likikutokea ndio tunaanza kujitambua....
Back to the point....kila ndoto ina tafsiri yake na inatehegemea ameota muda gani.......ndoto za usiku kuanzia saa 8 na kuendelea mpaka saa 10 hivi zina maana na athari katika maisha yako...
Kuota MTU kafa inamaanisha huyo MTU atakuwa na afya njema ,furaha na amani...
Ahsante mkuu nitakitafuta hicho kitabuMkuu Makalango,pokea ushauri huu juu ya tafsiri ya hiyo ndoto ya mpenzi wako wa awali,kukuota wewe wewe umekufa hakuna maana ya moja kwa moja kuwa utakufa,kuota kifo kuna maana ya MABADILIKO/UPYA au MWANZO MPYA juu ya jambo la zamani,ni ishara ya maisha mapya na Mwanzo wa ukurasa mpya wa maisha.Kwa kadiri ya simulizi ya ndoto ya huyo mpenzi wako inaonesha amebadilika mtazamo wake,pengine kuna mtu alijaribu kumpandikiza mawazo kinyume na mtazamo wenu na ndiyo maana akakuletea jambo lililo kinyume na utaratibu wenu wa awali,ila sasa ameng'amua kuwa amedanganywa.Kwa hiyo sasa huu ni wakati wako kumuweka kiganjani kama ilivyo awali.Cha msingi simamia nafasi yako kama mwanaume katika hili (kwa maelezo na faida zaidi tafuta kitabu kinaitwa YOUR GUIDE TO DREAMS by Lori Reid au 10,000 Dreams Interpreted by Miller) I hope you and any one reading this might get something helpful....
Remember,no one dreams with his/her will,so dream might be under divine or evil power.
Ahsante mkuu kwa mawazo yakoSio kila ndoto ina tafsiri ya moja kwa moja (direct) au kupindisha sehemu fulani ya ndoto ili kuleta mantiki.Tafsiri za ndoto ni taaluma toka enzi na enzi,ni kipawa cha kiuungu (Divinely talent).Watu wajitahidi kutofautisha from their mere opinions from the exactly and really meaning of the respective dream(s).Remember dreaming is out of our control(s),that means it's divine.Itafute elimu kwa mahitaji au matumizi stahiki,hakuna ajuaye kila kitu,sote twajua kwa sehemu tu ili tupate kusaidiana na kufaidiana.
utoto raha sana unafikiri kwa nini alikuambia "mapenzi mpaka ndoa". Wakati juma anampa kila siku? Mwanamke ni zaidi ya ujuavyo kila kikwazo utawekewa ila ukweli utabaki pale pale.Nadhani hakuna sehemu niliyosema nampa hela hapo juu kwenye maelezo yangu
Ni kweli mkuuutoto raha sana unafikiri kwa nini alikuambia "mapenzi mpaka ndoa". Wakati juma anampa kila siku? Mwanamke ni zaidi ya ujuavyo kila kikwazo utawekewa ila ukweli utabaki pale pale.
[emoji24] Mkuu Daby [emoji3] [emoji3] Jini MahabubaJiandae kula mzigo acha kuremba.
Mbona wewe unaotaga unakula uroda ukiamka unakuta patupu?
Hivi huwa linachagua watu eeeh?[emoji24] Mkuu Daby [emoji3] [emoji3] Jini Mahabuba
Kuandaa kisaikolojia ili iweje?kwan ukifa utapataje tena huo mshtuko mpaka uandaliwe kukubaliana na hilo?huyo atakua anakuroga mkuu.
hapo anakuandaa kisaikolojia
Wanyonge linachukua na kuwanyongea apo katii usiku....Hivi huwa linachagua watu eeeh?
Nalitafuta saana hilo
Duuh jamani pole zao.Wanyonge linachukua na kuwanyongea apo katii usiku....
Mim mashurut shupavuDuuh jamani pole zao.
Wew halijawahi?