Mpenzi wangu kaota nimekufa

Unampenda kweli au unataka kumla tu? Kama kumla tu muache akae alivyojiamulia bali kuwa rafiki yake wa kusalimiana ajue unamjali na upo poa nae.

Usisahau kumuuliza ndoto zake akiota zinatokea au la.
 
Namaifu sana huyo mwamke wako aiseeeee........
Anaonekana anakuzidi akili na ujanja, na bila shanapa nawewe ume prove kwa kutuandikia huu uzi.
Wanawake wanapenda wanaume maboya kama wewe aiseeeee....
Ahsante kwa mawazo yako pia ila sijaona uboya wangu nishauri cha kufanya
 
Kama umeishiwa na nguvu inamaana utakufa tu mkuu. Papuchi ulioitamani mda mrefu iende na mtu mwengine kwa urahiiisiiii.
 
anakutania na hiyo ndo kaona njia ya kukuleta karibu na yeye... ameshaona mipango yake aliyopanga imekataa sasa anaona arudi alikotoka tu..!!!
Hawa viumbe asee huwa wanamitego ya ajabu kwel yaan kamuijia jamaa kivingne jamaa nae anawaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hamja mueleza ata inamaana gani mnaruka ruka tuu.


kufa inamaana nyingi.
1. utakufa kiimani
2. utapita changamoto mpka unyooke.

anza kujiandaa kwa changamoto.
Kuna logic mkuu nimekuelewa kwa faida yangu baadae
 
Namaifu sana huyo mwamke wako aiseeeee........
Anaonekana anakuzidi akili na ujanja, na bila shanapa nawewe ume prove kwa kutuandikia huu uzi.
Wanawake wanapenda wanaume maboya kama wewe aiseeeee....
Kumbe mkuu ndo maana yesu aliona mbali sana kutokuwa na mwanamke eehh!
 
WABONGO TUWENI NA USTAARABU ,HATA KUOTA MNALETE HUMU, JE NI AKILI ZETU KWELI
 
Na wewe ungemuambia umeota umekufa pia na yeye akaolewa na mwanaume mwingine..
 
Kichwa cha habari na maelezo ya ndani havioani vzr. Ulimpiga chini kwa kunyimwa papuchi yakaisha sasa unamwitaje mpenzi wako?
Anyway ndoto zipo nyingi itategemea yy anahisi inatoka kwa Mungu?
 
Tafsir ya hyo ndoto sio kifo kama unachojua wewe ila ni kifo cha mapenzi yenu kuna dalili mbaya mbele ya safari ili kuepuka kua mwangalifu na mambo yko acha kuchepuka kazana kusali/kuswali
 
Omba kemea roho ya mauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…