kibavu
Senior Member
- Oct 15, 2008
- 136
- 82
Kwa kuongezea alichosema MJUMBE HAPA......Dada angu dalili ya MVUA MAWINGU, na panapofuka moshi, jua chini kuna moto...Jitie ujasiri, muulize ujiridhishe baada ya hapo MTWANGE KIBUTI CHA UGOKO halafu ushike hamsini zako! Utazeeshwa halafu uachwe, mapenzi ya kupima kwa 'NAUTICAL MILES' mara nyingi mwisho wake ni kama huu.
ushaachwa wewe
cha kufanya, unfriend, then mblock kwenye fb
then kwenye simu yako mblock
nakutakia kuachwa kwema.....