Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

toka mwanzo inaonyesha hana mapenzi na wewe, anza mbele tu picha ushaliona unasubiri nini?????
 

sasa usichoelewa hapo nini
kwamba huna chako,timua mapema
huyo amepata anaemchanganya, kwako anazuga!
 
Siku zote nasema usimfanyie mwenzio kitu usichopenda kufanyiwa....
Hakufai huyo coz yuko radhi kuchezea feelings zako na hajali maumivu yako.
Nachukia sana, tena nachukia kupita mfano, mtu anayechezea feelings za mwenzake
 
Nachukia sana, tena nachukia kupita mfano, mtu anayechezea feelings za mwenzake

Tatizo watu hawajui nini wanataka..... anakuacha then anakurudia like hajui alichofanya na anachukulia very easy
 
ebu jaribu kumuuliza alikuwa anamaanisha nn katika hilo then kama haeleweki amsha popo kwani wanaume wapo kibao kama vp nipm kwa msaad zaidi
Hapo ndio dada zangu mnaponishangaza sana. Hivi mnataka iweje ndio mkubali kuwa hamna chenu katika mahusiano. Wengine mnawakuta wapenzi/waume zenu live guest, halafu unaenda kumuuliza, akwambie nini zaidi ya ulichokiona kwa macho yako? Mnapenda sana kudanganywa. Dada wewe hesabu uko single na uanze kuishi Kama single ili usijinyime bahati yako
 
ukiona Manyoya na PICHA ujue....................................:A S shade:
 
Pole dada!! Kuna mwenzio kachukua namba, kubali substution tu. Je unasubiri barua ya kukuacha?? Haya mapenzi bana, yaani watu wanakuwa kama vipofu.
 
ukimya ktk mapenz sio mzur kabsa, ww unafikr hiv mwenzio anafikir vile mwisho wa siku mmoja lazma aumie.

ni vizur kama kuna kitu ambacho hakija kaa sawa, mkae mzungumze mpate muafaka, yule sio ndugu yako useme undugu haufutik mkikaa kimya.

kama bado unampenda na unahsi you can get him back, bas jipange uanze harakat mapema, la sivyo jiweke pemben kuepusha msongamano. POLE SANA.
 
aisee mi kuna mbwa kanifanyia ujinga huo sku mbili tu nimempiga chni.anarudi cku yatatu nikamwambia mzee kaa mbali namie
 
Heh!
Ukishaona mawasiliano hakuna weeh jipotezee tu. Kakutxt kwa sababu kazinguliwa na mpenzie mpya, ndo maana kakumbukia ya kale. Muambie ntakuja nitumie hela ya tiket afu umuache hapo anashangaa. Ukienda wewe ni bwalizozo
 
Wadada wenzangu!!!!
Me huwa najiweka 50 50 katika kila kitu unless im sure of! Ogopa jiepushe kutumia moyo wako hovyo ama kumruhusu mtu kufanya playingground!!
Me hio chuna chuna ya kwanza ndo tiket yake hadi Chamanzi kwao!!!
Set ur priorities in ur relationship,be selfish.. Orodhesha what u want ,then what do u get from ur relationship,are u okay with it?genuine communication,comfortable,happiness,plus economic and psychological care?yees sio kumtegemea mia kwa mia ila ni part muhim sana hii!
Kama hakuna!!!!!!
Girl... Tafuta alternative kuliko kuumiza moyo wako!
Huyo hakupendi na wala hajali hisia zako,amekufanya spare pale penzi lake analolipenda linapobuma,anakuja kwako cos yes kashajua we idiot who doesnt use her brain,(sor to say that but Yes) so he is allowed to go through ur legs to ur heart anytime. So wake up and tell urself, EVERYTHING HAPPEN FOR A REASON..A BETTER ONE FOR YOU,IM MOVING ON FOR MY OWN GOOD,IL NEVER UNDERSTAND ANY OF HIS STUP.ID EXCUSES AND HE WILL NEVER EVEEEEERRRR PLAY WITH MY FEELINGS AGAIN''
Then kaa kimya ukiweza change line and stay away from ur mutual friends,yani usitake kusikia habari zake tenaa.
Pole sana.
 
Dah pole sana binti huyo mwanaume c mtu mzuri kama ana roho ya ubinadamu asingefanya vile..mpotezee focus on ur future life wako yupo atakaye jali feeling zako.
 
Penzi ni watu sawili tu akiongezeka wa 3 umbeya tu please kaani myamalize wenyewe.
 
Pole sana dada. Huyu kijana mpenzi hakutaki kabisa. Anayekupenda kwa dhati ni lazima akutafute. Hata wewe umeshaliona hivyo na hukuwa hata na sababu ya kuuliza hapa. Kiukweli huwezi kuwa na maisha na huyu mwanaume.

wote wanaocomment kwenye hii thread wanarefer maelezo ya huyo bidada huna haja ya kumquote maelezo yake yote we andika msg yako tu.si wengine tunatumia simu zenye kioo kidogo so mnatupa tabu
 
Back
Top Bottom