Mwaka wa tatu huu mkuu
Miaka mitatu mmehitimu shahada ya nini?Mwaka wa tatu huu mkuu
Duuh! Kamanda miaka mitatu bachelor degree hiyo, apo amechoka mwenzio, mpira upo kwako sasaMwaka wa tatu huu mkuu
Ipi sababu inafanya muda wote huu hamja-oana? Kuna kitu chochote kinachokuzuia upande wako? Ana umri gani?Mwaka wa tatu huu mkuu
Nawewe Paula anko nchumali nasikia anatak kula kuku n mayai ykIpi sababu inafanya muda wote huu hamja-oana? Kuna kitu chochote kinachokuzuia upande wako? Ana umri gani?
Kashtuka unamtumia sanaMwaka wa tatu huu mkuu
Nadhani yeye ameangalia na kuona haupo na plans za kumuoa, three yrs angalau mmeshakaa na kuongea juu ya future yenu. Sasa kama mzee hujawahi hata kuongelea maisha yenu lazima awe na wasiwasi...Mahusiano yenye future unatakiwa kukaa muda gani?
akisepa usije sema hakukwambiaMwaka wa tatu huu mkuu
Mkuu unataka ugundue nn kutoka kwake ndio umuoe , maana hiyo miaka ni mingi nahisi umeshajua mapungufu yake na mpaka umekaa kwenye mapenzi muda wote huo ,kila mtu atakua ameyakubali mapaungufu Ya mwenzie , kama unampenda kwa dhani ww muoe tu , changamoto zote watu hutafuta jinsi Ya kukabiliana nazo na c kuzikimbia mkuuMwaka wa tatu huu mkuu
Sijakuelewa ulichoandika, dojonase.Nawew paula anko nchumali nasikia anatak kula kuku n mayai yk