Mpenzi wangu kaniomba msamaha

Mpenzi wangu kaniomba msamaha

mitoto ya sikuhizi hasara tupu! siju mwanangu nimkuze wapi! wanaume kama ma binti! Inasikitisha sana!
 
ujue kila kitu kinachofanyika chini ya jua kinaratibiwa na MUNGU ndio maana nikasema nikijaliwa,maana najijinga kisaikoloji ni namnagani nitaishi nae wakati alisha nichoma moyo lakin bado nampenda.

Na yeye bado anakuhitaji?
 
Haha km mtu hakutaki hata ukifata ni kazi bure..nakumbuka nilifunga safari kwenda kurekebisha penzi alakn nikaambulia kufungiwa milango..nikahisi tamthilia kumbe kweli..mapenzi nux..

Hahhahhahaha pole jamani. But kidume hata hujakata tamaa au?
 
umri umri umri, dogo aliachwa sasa ameombwa msamaha bana!

Nilijua tu lazima uje huku wewe ahhhhha CYBERTEQ hujantafuta tu mwenzio nina mazto ila anyway n.maisha tu haya ukijikwaa ukaanguka hubaki happ.chini unanyanyuka safar inaendelea labda kama unataka kurejea nyum na s mbele tena
 
Last edited by a moderator:
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife

kupenda kubaya nyieee..... sikiliza huu wimbo wa Sheta ft. Diamond- danganya......... uko vizur kwako when things will turn up side down again
 
Back
Top Bottom