Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
kaa! bora wewe uliachwa juzi mwenzio nina mwaka na miez 3 lakini bado nampenda sana nangojea nikijaliwa nikaombe radhi mimi na hata kama sisi wana ume ni mabwege lakini kupenda hakuna mwenyewe. mshukuru MUNGU kaka yangu kwa kurudiana hakuna kitu kibaya na kinachoumiza hapa duniani kama kuachana na mtu unaempenda na umezoeana nae.