Mpenzi wangu kaniomba 200,000


Elfu 200 ni pesa ya wapi?? we unambania eeh...wenzako wanasema laki si pesa ..we kaa unatoa macho uone kama hawajambeba wenye nazo!!
 
Last edited by a moderator:
Bora akuombe...shida mwanamke akisema 'nikopeshe' na wewe ukaamini 'umemkopesha'...

kuna jamaa yangu alikuwa akimkopesha demu wake pesa..anadai zaidi ya Majembe Auction Mart..nilimwambia huyo demu mtaachana tu na kweli ikawa hivyo, huwa siwezi kumkopesha demu pesa!!
 
Hehehehe... Elfu 2 pia waihesabia na ww..?! Anyway,umuulize hiyo pesa anataka kufanyia nini ili uwe comfortable kuitoa..
 
muulize kwanza za nini,sasa hapo kama anachohitaji sio cha muhimu lazima atalichukia hilo swali manake hata mimi niko hivyo, lakn kama ni shida ya muhimu atakueleza
 
Kata pochi upate penzi...

au unakula chochoro utafanyiwa ushenzi kila utaporudi mgogoro pigana na hela kisela maneno sio bunduki



umefanya asubuhi niirudie hii nyimbo thanks a lot
 
Bora kudate na wazee they have no complain at all jamani,

Umeona eeehhh yaani kwanza anakupa vidolali hata havihesabu na wala hujamwomba ukimwomba fasta 'Kacheki Account yako ya Standard Chartered Bank' nishaweka pesa maana niko nje ya nchi he he tuvijana hutu eti laki mbili anapiga kelele halafu anataka mwanamke???
 
Hehehehe... Elfu 2 pia waihesabia na ww..?! Anyway,umuulize hiyo pesa anataka kufanyia nini ili uwe comfortable kuitoa..

elfu 2 ndio na siku nyingine nilikuwa simpi kabisa namwambia hali tete kwavile najua anafanya kazi, alikuwa ananuna balaa!
 
Mpe maana makao nakuu ya mapenzi tayari yalikwisha ana zamani makao makuu ya mapenzi yalikuwa moyoni lakini kwa sasa yameamea mfukoni ni sehemu ya nadiriko tu kama sisi tanzania tulivyo amisha makao nakuu yetu toka dar kweda dom
 
kuna jamaa yangu alikuwa akimkopesha demu wake pesa..anadai zaidi ya Majembe Auction Mart..nilimwambia huyo demu mtaachana tu na kweli ikawa hivyo, huwa siwezi kumkopesha demu pesa!!
Kwani nyie wanafunzi? wanafunzi ndio wanakopeshana, Kama fedha unayo muulize tu anataka za nini? ukiridhika mpatie.
 
Ha ha elfu mbili nayo imo kwenye calculations?? Ha ha u made my day.... Ulimpa ya nini sasa hiyo buku mbili??? Ha ha ha aisee nimecheka kwa nguvu mno duh

nauli ya kuendea kazini.
 
nauli ya kuendea kazini.

Huyo atakuwa anaishi karibu na ofisi yake maana mimi toka kwangu mpaka ofisi bila buku kumi sitoki ndani nitaabika Bagamoyo - Mwenge 2200 bado Mwenge Posta 400 na kurudi?? Maji, lunch eeehhh haya bana
 
Na wewe siku nyingine mwambie akukopeshe 250.000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…