chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,220
Demu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi .
Jana kaniomba laki 2 nikashtuka kwa vile hajawahi kuniomba kiasi kikubwa kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi.
Ushauri tafadhali.