Mpenzi wangu kanikataa live leo

Dogo usilalamike sana kwa sababu kosa ni lako maana inategemea na terms zenu wakati mnaanzisha mahusiano . Nd'o maana unaambiwa lazima terms zijulikane from the beginning . Pili , inaonekana hauko romantic . Wanawake pamoja na mambo ya pesa yanayotawala dunia lakini kwa asili wanapenda mtu romantic na mwenye sense of humour . Jinsi unavyoendelea kukua utajifunza . Hao ni viumbe wanaohitaji kutengenezewa mazingira rafiki utajikuta unakula kirahisi . Nakushauri jipange mtengee kabajeti ka kama laki tatu mtoe out mpeleke kiwanja ambacho soda 1 inauzwa elfu 10 na chukua room ambayo ni suite isiyopungua laki na nusu , mkitoka huko mtakuwa siyo tu mmerudiana bali utakula kabisa na atakuita bby kila cku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli nakubali.
 
Sasa mbona una mapenzi ya kitoto? Mapenzi ya kuogopana ? Huyo ukitakiws umuandalie mazingira kama unaona kuomba umeshindwa .wanawake wa hivyo huwa wanataka wewe ndo uanzishe first move na sio kuomba omba kizembe (ujue tu nishakutukana ulipoandika eti unaomba ki sex) .
Sasa hadi eti anakuja kukwambia kwamba ana hamu lakini anajizuia haukusoma mchezo tu? [emoji15][emoji15][emoji15] dah!! Mzito kweli yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule zifunguliwe mkasome, mnatusumbua na nyuzi za hovyo
 
Umesahau kumwambia kuwa kuazia hiyi siku ataonekana pedeshee na siku akikosa hela ndo mwanzo wa kukimbiwa .
Kwann ajitese hivyo mkuu hawa viumbe unacheza na akili zao tu kuna weakness nyingi za ku exploit ni kitendo cha kutenga muda na kumsoma baaas imeisha hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhhh!!
 
Kuna wajinga watasema hiyo pesa si bora nikanunue tofari, au kwa kipindi hiki ni bora ninunue sanitizer na kibuyu mchirizi nijikinge na corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…