Mpenzi wangu kanikataa live leo

Asante mkuu barikiwa sana kwa ujumbe wako.
 
[emoji16] hii nyuzi imenikumbisha mbali sana.. kuna manzi nilimtokeaga ... Nikadate naye kama wiki tatu ivi akaanza kejeli sijui wewe ni mtu wa ajabu sana sijui. Angekuwa mwingine hapa kuonana tu angeshanirukia hapa ..akanisifia ooh sijui wewe unaonekana unaheshima sana yani hata kunishika shika yani una kaa mbali na mimi [emoji849][emoji849]

Aiseee alinitia hasira sana nikajiona mimi ni boya kinyamaaa... Kmmk nikaanza kumuonyesha makucha yangu... Kila tukionana lazima ninywe mate na kumchezea chezea... Nikaomba mechi aliniruka miata 1000 nikamlia timingi nikamtoa out akakubali..

Nikaenda kujilia huko kiulani bila taab.. siku za mbele nilichakaza sana yule manzi Mpaka alikuwa anaweweseka akiimba nyimbo ya willy paul ft. Nandy hallelujah/mkunaji [emoji39][emoji39][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli mabinti wa sasa hawaaminiki, lakini na yeye asije rogwa akatemana na mtu wake huko harafu aje kwangu,
Sijui tu...
 
Hongera yako mkuu kwa kumla kimasihara
 
Mkuu usiwe mkali sana kwa huyu dogo, ni kwamba tu kuna vitu vichache hajavielewa kwenye hii game ila yuko kwenye laiti tlaki. Kuna malofa hata kuwa tu na demu wa uongo na kweli wameshindwa sembuse huyu?
Hapo sasa naona jamaa ananideal kwelikweli utafikiri mi ndo nimekuwa wa kwanza
 
Uzuri wangu huwa sipendi kuforce kama hapendi anaacha.
😂 Hamna noma mkuu mi nisha temana nae wala sitaki hoja nae
Mkuu hawa mabinti wa sasaivi unatakiwa uende nao kijanja sana na kwa timing ya hali ya juu.

Unapoanzana na demu, hasa kama demu mwenyewe ni kisu, lets say umechukua namba yake mkaanza kuwasiliana na kuchati chati mpaka kutoana out, tambua kwamba una kipindi kifupi sana cha kumla huyo demu kabla hajashtuka na akili kumkaa sawa, au kabla baharia mwingine kati ya wale 37 hajakuovateki!

Mfano mimi muda niliojiwekea maximum ni wiki 2. Nikianzana na demu leo, ndani ya wiki mbili za kwanza kama sijala mzigo naachana nae. Maana kadri siku zinavyoenda ndio inavyozidi kuwa vigumu kumla na hapo ataanza kukutia gharama zisizo na kichwa wala miguu. Pia ataanza kukuzoea na kukuona kama rafiki ake wakati we ni lifisi lenye uchu. Hapo ataanza kukueleza matatizo yake na utajikuta unaanza kumsikiliza na kumsaidia. Wakati huo yeye anaanza kukuona lofa na anaegemea kwa jamaa wengine unaanza kushangaa simu zako hazipokelewi meseji hazijibiwi mpaka akiwa na shida.
 
Sikushauri umuache kama hujamkula...[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilikoswakoswa sana na tukio kama hilo I'm so glad nilimkula na ndie mwanamke pekee mpaka Leo namuamini kutokana na msimamo wake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe?!! Umesomeka mkuu ndo maana jf naipenda kunawatu wakishauri hata kama ulikuwa na msongo wa mawazo unakwisha, shukurani wana jf wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…