Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Huyo mkeo mlikutana barabarani au mnafahamiana hadi kwa wazazi wenu? Na hivyo Vitu kavibeba kuvipeleka kwao au wapi? kama ndugu zake wamempokea na hivyo Vitu itakuwa maajabu. Anza kumtafuta kwa ndugu zake kwanza. Ila kama mlikutana kimjini mjini then pole, Anza tu upya

Youngsharo hawezi kuwa na mke wala kazi..usipoteze muda kumshauri mtu anayeitwa youngsharo
 
1. Hakuna kitu kama, "ugomvi wa kawaida".
2. Mwanaume unanuna?
3. Kumbe ndani ya nyumba(ndoa) kuna 'vitu vyake' na 'vitu vyako'?

1. kumbe kuna ugomvi gani?
2. sio kwamba wote tulinuna unapozungumzia "family" mmoja wenu akiwa hana amani it means amani ndan ya familia haipo.
3. vitu vyo wote ni vitu ambavyo wote mme & mke mmevipata mkiwa pamoja.
 
Youngsharo hawezi kuwa na mke wala kazi..usipoteze muda kumshauri mtu anayeitwa youngsharo

jina nalotumia kwa social networks haimaanishi ndo my real name from ma parents, jaribu kuwa na fikra pevu.
 
jina nalotumia kwa social networks haimaanishi ndo my real name from ma parents, jaribu kuwa na fikra pevu.

Hebu tupia hapa jina lake na no ya sim tukusaidie kumtafuta. anaweza akawa jiran yangu, maana kuna bint kaja jana hapa na mizigo.
 
Hebu tupia hapa jina lake na no ya sim tukusaidie kumtafuta. anaweza akawa jiran yangu, maana kuna bint kaja jana hapa na mizigo.

mmh! nyi vijana wenyewe saiz hamueleweki mtanitongozea mke wangu bure.
 
Yani wewe bado unamuita mke? Wewe unaitaji maombi yanguvu maana macho yako yanatulubai nasio pazia

kaondoka bila talaka so bado ni mke wangu, na ole wake nimkute mtu yupo nae.
 
mbn makubwa?M2 ashachukua kila k2 ndan kasepa ye bado anaita mke?maana ya mke unaijua?Mke hawez kufanya hv ht ck mj.
 
youngsharo unatuzingua ujue...we mkeo aondoke na kila kitu halafu use na furaha kiasi hiki...BTW we in mtungaji mzuri sana was story
 
Hi hii mkuu huyo mwanamke alithibitishwa na TBS???
Kama alithibitishwa kabila gani huyo???
 
youngsharo

Ni mke au mpenzi? Mme ishi kwa muda gani? Kimsingi kama umeishi nae kwa zaidi ya mwaka mmoja basi wala usisumbuke kumtafuta maana kimsingi kaondoka na baadhi ya mali zake labda umsubiri kama atarudi ....usipoteze muda kwenda kushitaki .....
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha h, muda wangu mwingi nilikuwa kwenye Jf jukwaa la kisiasa, ni juzi tu nimechungulia kwenye hili jukwaa. Kinachonifurahisha kwenye hili jukwa ni vituko vya mitaani live. Hapa ni futuhi kwenda mbele.

Umeona ee? MMU imejaa vituko vya kutunga na vya ukweli, ukitaka kutoa stress zako usikose kutembelea huku.
 
Back
Top Bottom