Mpenzi wangu kamlilia sana Kanumba!! (Ushauri Pls)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Juzi nilikutana na mpenzi wangu, macho yalikuwa yamemvimba sana na hakuwa katika
hali yake ya kawaida…. Nikamuuliza kulikoni na macho mbona yako hivyo? Akanijibu kuwa kifo cha Kanumba kimemsikitisha sana na alikuwa akilia kwa siku nzima….. Nilishtushwa sana na haya majibu…..Hivi huyu kweli atakuwa ananipenda mimi kweli? Iweje amlilie Kanumba wakati sisi ndio tuko nao pamoja kwa shida na raha….
Hivi hawa viumbe mimi nadhani, sisi waume zao wanatuombea sana tufe na siku tukifa watakuwa na furaha sana ya kurithi mali na kulia kinafiki kwetu sisi, Na wasio wahusu wanawalilia kiukweli na wanawapenda kiukwel!!
Viumbe vya ajabu sana………
 
Ataachaje kumlilia wakati wewe ni boflo? Unateremka kwa chai tu na blueband!

Mwache alie na agaregare kabisa lol
 
Nilimuona akizimia pale Leaders

KANUMBA43.jpg
 
Kaka we huigizi... BTT, Okey hiyo itakuwa ni emotional tu demu wako anakupenda muulize na atakalo kujibu muamini na wewe jiamini
 
haa! haa! haa! we Boflo unanifurahisha sana! Mbona simpoooo! Jaribu kufa uone atafanyaje!
 
mimi mbona nililia sana na husband ndie aliyekuwa sambamba kunifariji.....acha hizo Bof...
 
Juzi nilikutana na mpenzi wangu, macho yalikuwa yamemvimba sana na hakuwa katika
hali yake ya kawaida…. Nikamuuliza kulikoni na macho mbona yako hivyo? Akanijibu kuwa kifo cha Kanumba kimemsikitisha sana na alikuwa akilia kwa siku nzima….. Nilishtushwa sana na haya majibu…..Hivi huyu kweli atakuwa ananipenda mimi kweli? Iweje amlilie Kanumba wakati sisi ndio tuko nao pamoja kwa shida na raha….
Hivi hawa viumbe mimi nadhani, sisi waume zao wanatuombea sana tufe na siku tukifa watakuwa na furaha sana ya kurithi mali na kulia kinafiki kwetu sisi, Na wasio wahusu wanawalilia kukweli na wanawapenda kiukwel!!
Viumbe vya ajabu sana………

Kongosho alishauri muoane wenyewe kwa wenyewe kupunguza pressure. i think it is a great idea!
 
Jamaa mbona alishampitia kitambo? Inamaana hakukwambia? Ndo alikuwa Bf wake wa kwanza, na ndo alimtoa ile kitu ya wasichana, alimb.......ri, kwann asimlilie? Pole zako na pamoja na kuwa nawe walikuwa na mapenzi ya kisirisiri
 
Ungembembeleza, yaani mwanaume mzima analia wakati wewe umevumilia!
 
Hivi hamnaga chakuandikaga huku? Muulize?

Juzi nilikutana na mpenzi wangu, macho yalikuwa yamemvimba sana na hakuwa katika
hali yake ya kawaida…. Nikamuuliza kulikoni na macho mbona yako hivyo? Akanijibu kuwa kifo cha Kanumba kimemsikitisha sana na alikuwa akilia kwa siku nzima….. Nilishtushwa sana na haya majibu…..Hivi huyu kweli atakuwa ananipenda mimi kweli? Iweje amlilie Kanumba wakati sisi ndio tuko nao pamoja kwa shida na raha….
Hivi hawa viumbe mimi nadhani, sisi waume zao wanatuombea sana tufe na siku tukifa watakuwa na furaha sana ya kurithi mali na kulia kinafiki kwetu sisi, Na wasio wahusu wanawalilia kiukweli na wanawapenda kiukwel!!
Viumbe vya ajabu sana………
 
We Boflo nawe hadithi zimezidi. . .
Huyo mpenzi wako ni wa aina gani? Mwekundu au wa bluu?
 
Pole sana ila nianchoamini huwa kweney msiba sio kila anaelia analia kwasababu marehemu ndio hatunae tena ila kila mtu hua anakaua na sababu yake kubwa na ngumu kuelezeka......
 
Juzi nilikutana na mpenzi wangu, macho yalikuwa yamemvimba sana na hakuwa katika
hali yake ya kawaida…. Nikamuuliza kulikoni na macho mbona yako hivyo? Akanijibu kuwa kifo cha Kanumba kimemsikitisha sana na alikuwa akilia kwa siku nzima….. Nilishtushwa sana na haya majibu…..Hivi huyu kweli atakuwa ananipenda mimi kweli? Iweje amlilie Kanumba wakati sisi ndio tuko nao pamoja kwa shida na raha….
Hivi hawa viumbe mimi nadhani, sisi waume zao wanatuombea sana tufe na siku tukifa watakuwa na furaha sana ya kurithi mali na kulia kinafiki kwetu sisi, Na wasio wahusu wanawalilia kiukweli na wanawapenda kiukwel!!
Viumbe vya ajabu sana………

Uwezi kulazimisha isia.......sio lazima mkeo awe na isia kali kwako wewe.....kuwa mkeo isiwe sababu ya kutaka mkeo akufeel sana wewe
 
Back
Top Bottom