Mkuu hawa madem wazuri wana siri nzito sana.. Ukweli ni kwamba wanaume hua tunazungukana kwa mademu wale wale.. Demu akishakua na shepu na sura nzuri baasi wanaume wote tumoo 😀alooh mkuu,mbna ndo mwenyew?
kwel kabxa hapo kuna ukwel kias chake,huyu baada ya kutumia sanaa akaja nambia nmepata jamaa mwngine nkamtakia kila la heri,ko bdo unakuta tuko kwa mzunguko tuMkuu hawa madem wazuri wana siri nzito sana.. Ukweli ni kwamba wanaume hua tunazungukana kwa mademu wale wale.. Demu akishakua na shepu na sura nzuri baasi wanaume wote tumoo 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na akiwa konki anamuacha [emoji23][emoji23]
notedChamsingi papuchi hakupe hayo mengine hayana maana sana
PoleWakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.