Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,820
- 55,611
Waoh!!
Na akiwa konki anamuacha [emoji23][emoji23]Kama unamuelewa jaribu kwenda nae taratibuu. Atakuwa konki mpaka utashangaa
[emoji23][emoji23] gogo ni nini mkuu?Unajua hata ye uko anasema... Humrishishi ,unamchosha ndomaana anakuaga gogo tu
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
Demu wa siku hizi wako romantic only kwenye simu tu..... ukikutana naye unajutia kwanini Umefunga biashara yako kukutane nae, hawezi kushutua hisia zako za mapenzi, mnapanga nae mambo ya faragha unafikiri mnafanya mkataba wa biashara, macho meupe aibu hamna sauti ni yakupayuka anatamani kununuliwa supu kwanza kuliko kutamani kukutana na wewe, miss u imekua neno la fashion hawalielewi, duh.....Hujampagawisha bado.
Mpagawishe u-romantic utakuja automatically.
Demu wangu wa sasa tulipoanza rltnshp alikuwa hayupo romantic kabisa, muda wote naitwa baba la baba, mara niambie wewe..... Lkn cheki sasa hivi hapa chini[emoji1541][emoji1541][emoji1541].... Ni mwendo wa my hubby, my everything[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumia akili kijana, mapenzi upofu na akili ndio macho yake.
View attachment 1181404
Hapa Washington D.C tutaangalia live.Daaah mkuu hii tarehe nishaweka booking kabisa pale century cinemax[emoji4][emoji4][emoji4]
Itakua Rechal wangu wa kahama,anajua sana kunywa savanah ila anajua tu kutegesha
Exactly!Demu wa siku hizi wako romantic only kwenye simu tu..... ukikutana naye unajutia kwanini Umefunga biashara yako kukutane nae, hawezi kushutua hisia zako za mapenzi, mnapanga nae mambo ya faragha unafikiri mnafanya mkataba wa biashara, macho meupe aibu hamna sauti ni yakupayuka anatamani kununuliwa supu kwanza kuliko kutamani kukutana na wewe, miss u imekua neno la fashion hawalielewi, duh.....
πππkumbe hawa Rechal wote wana tabia kama dem wa Gwaj boy mkuu?au n huyu huyu wangu ulitumia mkuu?Ndio mkuu huyu ni Rachel kabisa.. yeye anachojua ni kugida savannah na kuku tuu akifika kitandani hata mguno wa uongo na kweli hakuna. Mi nilimpiga chini..!
[emoji28][emoji28][emoji28]ntakunong'onezaaaa chumban[emoji23][emoji23] gogo ni nini mkuu?
Atakua ni huyo mkuu.. maji yakunde ivi si mnene si mwembaba ana ka shepu ππππkumbe hawa Rechal wote wana tabia kama dem wa Gwaj boy mkuu?au n huyu huyu wangu ulitumia mkuu?
Exactly!
ππh ila wangu alikua Mwanza mkuu nahc atakua kesharud huko,pia n black flan iv, japo vigezo vyote ulivyotaja ndo hivyo hivyo vya huyu wanguπAtakua ni huyo mkuu.. maji yakunde ivi si mnene si mwembaba ana ka shepu π
alooh mkuu,mbna ndo mwenyew?Atakua ni huyo mkuu.. maji yakunde ivi si mnene si mwembaba ana ka shepu π