Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Lovery

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
1,602
Reaction score
3,418
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba. ni mpole na anatabia njema,


kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.


swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

Usihofu. Kuchapiwa kupo tu, uoe au usioe, masela watagonga tu, tena hao wapole wenye kunyegereka muda wote ni hatari. Waweza jipa moyo ni mpole, kumbe ndo simba mla nyama. Ila suala la kuwa muaminifu ni hiari yake na tabia yake. Akiamua kuwa muaminifu basi atakuwa hivyo, na akiamua kutokuwa hatokuwa.
 
Hapo labda unajua kumridhisha sana kias kwamba amekuaa akikuona tu anadai mchezo


Hiv ulimkuta na bikira yake? Ukweli n kwamba uwezekano wa wewe kuibiwa upo na uwezekano wa kutoibiwa upo. Kama ana tabia za chura kila mahali huruka bas jibu liko wazi
 
We hukuwa na mpango naye wala nini....

Sema ukweli brother!
 
kwa nini unamhisi mwenzio atachepukaaa....wewe je huwa unabaki njia kuu siku zote?...uwazalo baya juu ya mwenzio....hukupata wewe katika hali tofauti
 
Back
Top Bottom