Mpenzi wangu hataki tushirikiane katika maswala ya dini

Mpenzi wangu hataki tushirikiane katika maswala ya dini

Hivi form five mmnaenda lini....maana jf imevamiwa lol...ww unajishindisha njaa tuu ndorobooo weyeee...
 
Nimeishia kucheka kwa masikitiko.
Hujui hata dini yako wewe. Uende madrasa tu.
Yaani unataka upikiwe futari na gelogrendi halafu jioni umfuturu?
Cc dada kifimbocheza FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Aiseee hta mwezi unasema Mwenzi cjui tukusaidiaje
 
Totos Boss

Ni lazima ukubali hapo mapenzi hakuna na haitowezekana ninyi wawili kufika mbali...tafuta wa dini yako..hivi unakwenda kanisani kisa mwanamke?....!
 
Last edited by a moderator:
Totos Boss

ndugu yangu,kama wewe ni mwislam safi, nikosa kupikiwa futari endapo kama si mwisla kuni chakula hicho kitakuwa ni najsi, pia nikosa kosa kulala nae hatakama hafanyi lolote. mimi si mwislam ila nijuavyo mimi kufunga masharti yake ni magumu sana wengi hawa wefuati, nibora kula tu. huwezikufuturu chakula alichopiaka mkristu awe mkeo, hawara, mamalishe au housemade.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha unamiaka mingapi wewe mwezi mtukufu unapikiwa na demu aina aja ya kufunga sasa.
 
Hili la kupeana kampani nashindwa hata kulielewa,
Yaani mtu afunge kumsindikiza mwingine??!!!

Mkuu achana na zinaa na utumie mwezi huu kwako kujiweka karibu na muumba wako na kuweka nia ya kuyaacha yaliyomaovu.
 
kwani inaruhusiwa kidini ukiwa umefunga upikiwe na mwanamke ambaye sio mke wako?or wa dini nyingine?
 
Mi nahisi hizi ni story za kujitungia pia wapo watu humu wanapenda kuchezea wenzio we nahisi ulizaliwa Gizani mfuuuuu.
 
Ah...rafiki si uislam kuwa na kimada kwa kipindi hichi, na pia hastahili kukupikia futari wala Sijui chakula cha usiku....
 
Back
Top Bottom