The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
Wakuu
Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi.
I'm very sad
Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi.
I'm very sad
Yupo bise kuosha kifaa cha matumizi alichokitumia ukoWakuu
Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi.
I'm very sad
Tafuta mwi
jamaa ndo anakamilisha mzunguko wa pili , atapokea tuu kesho![]()
Kijana wa Hovyo. Iyo ela si Bora ungeisave au ungeenda kushushia Gambe na nyama choma 🗑️sms zote ulizokua unatuma tumeziona mkuu😅😅😅
unajiliza liza sana...
mimi nafanya kazi Vodacom Tanzania 🤭🤭View attachment 3236612
Haupajui kwake?Wakuu
Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi.
I'm very sad