Mpenzi wangu haoneshi hisia tukifanya mapenzi

Bro namuandaa vuzir san2 ila shida nikipeleka moto mwenzang nikimuangalia yani haoneshi kam yupo kweny tendo kikubwa anafumba macho 2
Achana na wanaokuambia wewe ndio mwenye tatizo. Hapa tatizo ni huyo mwanamke wako, umepata GOGO..!

Mwanamke unapokua nae faragha anatakiwa atoe ushirikiano kuanzia unapumuandaa mpaka wakati wa tendo lenyewe. Ukiona unakukuruka peke yako tu mwanamke yeye yupo kama sanamu hatikisiki, haguni, hafanyi chochote, hilo ni GOGO achana nalo.
 
Umewahi kukaa nae chini mkalijadili? Inawezekana moto unaupeleka but sio kwa style zake.... women wako complicated kidogo jaribu kuongea nae mdadisi vp mwenzangu mbona naona ndivyo sivyo
 
Bro namuandaa vuzir san2 ila shida nikipeleka moto mwenzang nikimuangalia yani haoneshi kam yupo kweny tendo kikubwa anafumba macho 2
Ana trauma huyo.. Inawezekana kuna jambo baya lilishawahi kumtokea
 
Mr HQ kule IG Kuna page ya "Jifunze kupika" ya mdada mwarabu. Pamoja na mengineyo, huyo mdada anauza Mango powder. Kwa shuhuda za wengi, Mango powder inarejesha hamu ya sex kwa mwanamke, kubana uke, uteute n.k. unaweza jaribu hiyo.
 
Back
Top Bottom