Mpenzi wangu hajisikii kufanya mapenzi

Mpenzi wangu hajisikii kufanya mapenzi

nimpe huduma nimpelekee moto dah kwamba mi dunian nimekuja kutimiza ndoto za mwenzangu sio mimi zangu atanitimizia nani kama ni hivyo bora kuungana na donedrake na yule mwenzake wa kataa ndoa
sasa mbona unalalama si uendelee kumuhudumia tu
 
Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo.

Nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jini mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jini mahaba kama nataka kuamini ni za kweli pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi home kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja JamiiForums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine.

Hay leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi.
Kichwa Cha habari kinasema ni mpenzi wako, ndani kwenye Uzi unasema ni mkeo. Anyways, tuachane na ilo.

Kama hajisikii kufanya mapenzi, muulize anajisikia kufanya nini, kisha fanyeni icho.
 
Kichwa Cha habari kinasema ni mpenzi wako, ndani kwenye Uzi unasema ni mkeo. Anyways, tuachane na ilo.

Kama hajisikii kufanya mapenzi, muulize anajisikia kufanya nini, kisha fanyeni icho.
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom