Mpenzi wangu hajisikii kufanya mapenzi

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo.

Nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jini mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jini mahaba kama nataka kuamini ni za kweli pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi home kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja JamiiForums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine.

Hay leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi.
 
Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo, nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jinni mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jinni mahaba kama nataka kuamini ni za kweri pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi hom kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja jamiiforums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine haya leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi
Mpe
 
jini wake ni wewe
 
Kwa uzoefu wangu kuna mambo kadhaa hupelekea Mwanamke kupoteza hisia za kushiriki mapenzi;
  • Kuchoka, iwapo mkeo/mpenzio anakuwa na shughuli nyingi za kumfanya kuchoka. Itapelekea asiwe tayari kukupea
  • Kutokufika kileleni, iwapo mpenzi wako kila mkishiriki ngono humfikishi kileleni inamuondolea hamu ya kutopenda kushiriki tena maana Wanawake wengi huumia iwapo una-mfuvk alafu kabla hajafika kileleni wewe Mwanaume unakuwa umeshamaliza
  • Msongo wa Mawazo, labda mume humuhudumii vyema mkeo inafikia wakati hata kula na vaa yake ni kumtegemea Mungu, basi mke wa hivyo anaweza asiwe na hamu ya tendo.
  • N.k
Hata kama wewe Mwanaume uko busy kiasi gani hakikisha unamwandaa mkeo kisaikolojia kwa kumtumia vimeseji vya kumchokoza ili ajue ukishatoka kazini "Utakula ndiyo Ule"

Lakini sio vibaya kumlipia vi-Mpesa vya Vikoba(Wanawake wengi wanacheza siku hizi) vyao siku moja moja ili kumfanya mtoto wa watu akiamua kukupa basi akupee hadi useme "Mama Koku it is enough for today"
 
Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo, nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jinni mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jinni mahaba kama nataka kuamini ni za kweri pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi hom kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja jamiiforums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine haya leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi
with creative stayles targeting imotional angles, peleka motroo slow but sure, speed and standard scratch them wisely, softly, swiftly and slowly...
hiyo ndinga mbona inawaka...

usiguseguse tu,

wamama wengine moto wa ukeni na kisaikolijia uko mbali sana kutokana na aina ya mahangaiko ya maisha ni mgumu kuwaka kama kuni mbichi vile,
ila ukiwaka sasa, kuuzima inahitajika pumzi haswaaa...

huenda huwa unamkwaza apo,
unampandisha Mori na dk mbili zako akati moto wake unawaka na anataka wewe mshedede unagoma kushika network..

Unamuumiza, unamkwaza sana. Hatamani tendo tena ..
Check uwajibikaji wako kwenye hilo...
 
Hakuna kitu kigumu kama kuzuia uzazi

Kuna kimchempuko changu nakipenda SAna na ni kizur,nilkizuia kutumia uzazi wa mpango maana najua ulivyo na madhara mengi kwanza Wanawake wengi hupoteza hata mvuto na mng'ao kwasababu ya hayo madude bado huwavurugia mzunguko wa hedhi,anaweza toka damu hata wiki nzima

Sasa ili kimchempuko changu kisiteseke,niliamua kujipa kazi ya kumwaga nje ingawaje ni ngumu ila huwa na jitahid hvyo hvyo,mara moja moja anatumia p2 au kalenda
 
with creative stayles targeting imotional angles, peleka motroo slow but sure, speed and standard scratch them wisely, softly, swiftly and slowly...
hiyo ndinga mbona inawaka...

usiguseguse tu,

wamama wengine moto wa ukeni na kisaikolijia uko mbali sana kutokana na aina ya mahangaiko ya maisha ni mgumu kuwaka kama kuni mbichi vile,
ila ukiwaka sasa, kuuzima inahitajika pumzi haswaaa...

huenda huwa unamkwaza apo,
unampandisha Mori na dk mbili zako akati moto wake unawaka na anataka wewe mshedede unagoma kushika network..

Unamuumiza, unamkwaza sana. Hatamani tendo tena ..
Check uwajibikaji wako kwenye hilo...
nimpe huduma nimpelekee moto dah kwamba mi dunian nimekuja kutimiza ndoto za mwenzangu sio mimi zangu atanitimizia nani kama ni hivyo bora kuungana na donedrake na yule mwenzake wa kataa ndoa
 
Back
Top Bottom