Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,427
Hapana!
Una uhakika?
Hapana!
Ungejua nimeisha mlamba,hata ucngejitapa huku jf.
Heheheeheheeee
Mhhhhh! Malizia basi Lizzy
ungemuacha apime, kisha aamue !Ni kawaida kama umemlamba,kwani demu wako umemtoa bikira?Mi nimejaribu kuonesha unyanyasaji unaojiri ktk jamii.
Hiyo . . . . . ndio imekufurahisha?
Hiyo . . . . . ndio imekufurahisha?
Hahahahah. .BAK unataka watu wajue udhaifu wangu ili waninyanyase ehhhh?
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.

Umekumbuka nini?Dekio?Nimesha kumbuka
mwambie amuwashe na pccb ili akome
Hutaki nifurahi?
Alikua anatafuta kazi wa ualimu, ya polisi au ya Jeshi? Ni kazi ya serikalini au private sector?
Una uhakika?