OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Kwani mkuu pombe inaondoa upurity wa mtu?bange sio nzuri mkuu nadhani ilo halina ubishi.
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
Amuache dada wa watu bana,gushi haina madhara,ni tofauti na pombe aisee,mlevi wa pombe anaweza fanya vituko tofauti na ganja smoker!We umemkuta anavuta na ulimpenda na hajakudanganya na unasema hana tabia ya hovyo sasa shida nini????!!!
Si umesema ni muelewa pia ni mrembo???!!!
Purity ianze na wewe uache pombe naye aache smokie muwe watu sober! !!!
Kua utayaona mdogo angu..!
Amuache dada wa watu bana,gushi haina madhara,ni tofauti na pombe aisee,mlevi wa pombe anaweza fanya vituko tofauti na ganja smoker!
Nnachojiuliza hivi kwa maneno tu anaweza kurekebika au kuna kitu natakiwa nifanye.
A yuu meredi???!!!!
Lakini ukweli umemuweka huru,so jamaa aamue,sijawah ona mtu anavuta bange anajjikojolea,au anasababisha ajali barabarani,ila sasa wanywa serengeti na tusker ni noumer!mi naona aache pombe aungane na gal wake kwny kijiti!Ndio tatizo la kuwa mkweli saaanaaaaa yaani mengine unakula nayo pini moyoni tu!!!!!
Kama huyu alitakiwa amwambie nilijaribu siku ile tu ila sio tabia yangu! !!!!
Bangi ni kama sakramenti, ukimkataza ni kama kumzuia mtu kuabudu
mi ndo sijakua au yye.?
Lakini ukweli umemuweka huru,so jamaa aamue,sijawah ona mtu anavuta bange anajjikojolea,au anasababisha ajali barabarani,ila sasa wanywa serengeti na tusker ni noumer!mi naona aache pombe aungane na gal wake kwny kijiti!
Habari wana jf.
Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari,huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja,kwa kumuangalia kwa kweli. ni dada mrembo sana na anaejitambua,sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake,mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi,siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi,aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake,nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake,sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani,niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona,nirudi nyumbn sikuhyo sikumuuliza kitu,umepita kama mwezi hvi, juzi nikamuuliza kama anatumia bangi,bahati nzuri hakua na ubisha alikubali,anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.tumegombana sana,naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nying za ajabu kwa sasa bado sijaziona.
Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.