Bangi Ina shusha hadhi ya mtu bwana, duh ndo unataka kuowa mvuta bangi apo kila jioni kasizi
Hi hakisawa naona itaja vuka mipaka. Kwa mama zetu au mabib huezi sikia nao walikuaga wavuta bangi
Ni kisikiaga flani anavuta na mtoa maana bangi sio,
Mkuu kumbe na wewe mwanachama, ngoja nisokote moja Swazi sativa nimepokea parcel mpya kutoka kwa mzee wa totoz mwenyewe!
Ni kweli kabisa ila sikua na maana hiyo ..Namshangaa kijana analalamika shemeji kula kijiti wakati mimi natamani nipate wa hivyo
Kuna watu wengi sana na heshima zao wanapata hii kitu na ukiambiwa hutaamini. Hii kitu unatakiwa kuivuta kwa starehe..sasa unakuta mtu hata kupata mlo mmoja inakuwa issue yeye ana vuta bangi tu,thats why wengi wanachizika.
Vuta bangi...kula vizuri, vaa vizuri, lala vizuri,una kazi yako ya maana maisha yanakwenda kawaida, hapo no kuchizika!
Ni kweli kabisa ila sikua na maana hiyo ..Namshangaa kijana analalamika shemeji kula kijiti wakati mimi natamani nipate wa hivyo
sio mizuri.kwa watoto atakaowazaa .....usishangae akazaa taahira..ina reaction tumboni humo
Mkuu mi nilishavuta sana bangi lakini sikupata madhara yeyote yake japokuwa sasa hivi nimeacha muda huu kama miaka4 hivi,,huyo mpenz wako kama umemkuta anavuta bangi na hajawahi kufanya kitu chochote ujue anaimudu.
Tatizo linakuja pale huwa heshima hamna maana ni atajiamini mno.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
Huyu kijana Jaslaws si amuache huyo dada yetu tupo tutakaomuoa?Ulishasikia mtu ana overdose na bangi? Bangu unavuta, unacheka, unakuwa chill, unalala. Pombe vurugu tu. Bora niwe na mtu mvuta bangi kuliko mlevi.
MBA cc\ MentorMarital status: "married but available" :sly::sly:ππππ