Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

sawa iko ivo ila kwa uelewa wangu upendo ndo jambo kubwa hapo,,, mmoja akisafiri kama upendo upo atasubiri kwa upendo, kama ni tendo kwanza inamaana hapo watachepuka sana sababu ya kuendekeza tendo badala ya upendo.
Yeah upendo ndo huanza kwanza!!!! Mi nachoona changamoto labda km jamaa hamkuni vizuri mwenza wake ndomana anamkwepa kwepa hutaki kuachiwa chombo!!! uko ndani na Mme wako kwa mfano akuguse usisimke umwambie letc wait till wkend, mi nahisi utakuwa unahisia nae
 
hahaaa..!!! hiyo kali
 
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
Mkuu, hebu kwanza funguka vizuri. Je, huyo mpenzi wako una mpango wa kuja kumuoa au upo naye kwa ajili ya kuto.mba tu? Kama ni kwa ajili ya kumuoa, huyo hakufai asilani. Kama upo naye kwa ajili ya kuto.mba tu, hebu jiongeze. Tafuta mchepuko mwingine mwenye uwezo wa kitombo kama wewe, kwani ukingangania huyo mmoja tu, utakuwa unajitesa nafsi yako.

Mimi pia nina mchepuko ambao unataka tuwe tunato.mbana mara mbili kwa wiki wakati mapigo yangu ni kama yako au hata zaidi ya hayo ya kwako. Sitaki shida. Nimetafuta mchepuko mweningine ambao najitombea kila siku bila shuruti. Isiwe taabu bhana. Ebo! Nawe kama ukiweza niige mkuu.
 
Hapa kama hapajaeleweka.'mcontrol mume kwa Boyfriend Ndo nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mume upo naye ndani kitandani kila siku possibility yaye kukushika we na kusisimka ukampa gemu ni kubwa sana, lakini Mara nyingi boyfriend since hauishi nae unaweza ukawa unampiga kalenda ya show kila siku since hana access nawewe ndiyo maana nikamwambia kwa mume kumcontro et umyime show ni ngume lkn kwa boyfriend ndio mnaweza
 
Ooooh Now I GET IT!

Ukimuoa jiandae kupewa mara moja kwa mwaka, au usipate kabisa akishapata mtoto.
 
Back
Top Bottom