Mpenzi wangu anataka tuachane, maoni yenu waungwana

siwez kumuachaa aendee nampenda she loves me i can see it...

Maelezo yako na ulichoandika hapo penye rangi kuna utofauti mkubwa.

Unatushika maskio huenda huna hata demu
 
kama ushawah kuwa kwenye mahusiano ungejuaaa.... sifany mchezo wa kuigiza hapaa....
 
Anakutafutia sababu...ukishaona 'tuachane tuachane' nyingi stuka..

Otherwise,aseme specifically nini anataka..ukiona anajiumauma..ondoka!
 
Mwache eh eh
Aendeke zake eh
Amfuate eh
Mpezi wake eh.

Hivi suma lee aliishiaga wapi?
 
Mwache eh eh
Aendeke zake eh
Amfuate eh
Mpezi wake eh.

Hivi suma lee aliishiaga wapi?
Ameachana na music...ameamua kuwa muumini mkamilifu wa dini ya kiislamu. Anaitwa Sheikh Ismail sasa..
 
Niko kwenye mahusiano na nampenda sana huyooo mtoto wa kike nina future naye... na ni muamnifu kwake sana.

Kiukwel tangu niwenae sijawah kuwa na mahusiano na msichana mwingine yaan sijawah kumcheat hata kidogo na wala sifikirii coz nampend na ananipenda... lakin she is always blaming me kuwa simjal na tukigombana kidogo tu ananuna snaa na anataka tuachane...
wamba mm simjali..

Kwa mfano juz aliniambia nimtolee pesa bank nikamwambia nenda mjini naweza kuchelewa kurudi kwa sababu njia anayopita kwenda kazini na anaposhukia kwenda kazini ni kama mita 100 tu umefk kwangu so.

Nikamwambia nenda kwangu kuna pesa nimekuachia kachukue... baadae akanpgia smu kwamba mimi nimeshachelewa kwenda kazini, nikamwambia kwan si unashukia pale mitaa ya kwangu kwa nini tu usiipitie hiyo pesa si ni kama dk 5 tu alafu unaenda kazini?

Akachukia akakata simu, anasema hanielewi na hawez kuwa na mimi anataka tuchane...
Mtoto anataka mahela
Wewe unampa pesa.
Jiongeze mkuu utamkosa mtoto.
Wewe utampata wapi wa future bila
Mpunga!
 
Niko kwenye mahusiano na nampenda sana huyooo mtoto wa kike nina future naye... na ni muamnifu kwake sana.

Kiukwel tangu niwenae sijawah kuwa na mahusiano na msichana mwingine yaan sijawah kumcheat hata kidogo na wala sifikirii coz nampend na ananipenda... lakin she is always blaming me kuwa simjal na tukigombana kidogo tu ananuna snaa na anataka tuachane...
wamba mm simjali..

Kwa mfano juz aliniambia nimtolee pesa bank nikamwambia nenda mjini naweza kuchelewa kurudi kwa sababu njia anayopita kwenda kazini na anaposhukia kwenda kazini ni kama mita 100 tu umefk kwangu so.

Nikamwambia nenda kwangu kuna pesa nimekuachia kachukue... baadae akanpgia smu kwamba mimi nimeshachelewa kwenda kazini, nikamwambia kwan si unashukia pale mitaa ya kwangu kwa nini tu usiipitie hiyo pesa si ni kama dk 5 tu alafu unaenda kazini?

Akachukia akakata simu, anasema hanielewi na hawez kuwa na mimi anataka tuchane...
 
Kajua unampenda sana na anataka kukupanda kichwani.... Mkazie tu kwa mambo madogo km hayo.... Ukilegeza utafuga jipu litakalokupatia maumivu makali mbeleni
 
Back
Top Bottom