Dalili zote hizo huoni kama utakiwi??ko mm namng'ang'ania..??
Mtu unaempenda huwezi mzingua kwa vitu kama ivyo maana vinapunguza upendo, mkuu kubali tu kuwa hutakiwi ingawa ni ukweli mchungu.lakn hii sio mara ya kwanza kufanya hiv... na huwa na kimuuliza anasema ananizinguaga tu..... [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wewe huyo humpendi, unamtegemea kihisia kuwa ndie anaekamilisha madhaifu unayodhani unayo. Huwezi kuvumilia upuuzi wa kikuda kama huo.nampendaa sasa ndo shidaah
Duuuu mkuu upo sane kweli u must be sick kwani ana nini cha ajabu huyo manzi open ur mind usije baadae kulialia huku piga chini huyo don't be like a kidsiwez kumuachaa aendee nampenda she loves me i can see it...
Too young... Kula maisha kwanza . enjoy urself ..... Mapenzi utayakuta mbele.mi 24 yeye 20...
Akili ikikomaa..[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] unataka niwe na mahusiano nkiwaa na miaka 30.....
[emoji122][emoji122][emoji122] pointMtu unaempenda huwezi mzingua kwa vitu kama ivyo maana vinapunguza upendo, mkuu kubali tu kuwa hutakiwi ingawa ni ukweli mchungu.
Hivi hii inakuajeAmeachana na music...ameamua kuwa muumini mkamilifu wa dini ya kiislamu. Anaitwa Sheikh Ismail sasa..
Hakuna kitu kinaboa kama mwanaume humtaki halafu anakung'ang'ania
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ndiyo maana namuambia kaka hapo kuwa akubali tuWE HATA SISI HUWA MWATUPA WAKATI MGUM MDADA HUMTAKI HAKUELEWI
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ndiyo maana namuambia kaka hapo kuwa akubali tu