Mpenzi wangu anataka tuachane, maoni yenu waungwana

Mpenzi wangu anataka tuachane, maoni yenu waungwana

Mkuu Hali hiyo pesa unayo ukifulia si ndiyo itakua balaa
Kuwa Makini huyo demu Anamideko ya Ajabu sana.

Pesa ipo nyumbani nimekuwekea kachukue ananuna.
 
piga chini, wanawake mjini wamejaa tena ukizingatia na huu usawa wa magufuli unawabebaa tu.
Nina kama wik moja nina Pasua kichwa kama LA jamaa,nimeliachia mbali..yaani unalipa ela kama Mimi ATM na kueshimu,ukichelewesha jambo dogo eti tuachane.nikamuachia mbali,sasa hivi anaisoma namba kama ulee wimbo wa ccm.ova.
 
Kuwa na roho ya kiume..warembo wamejaa telee.achana naye bila kupepesa macho nyuma
 
Mhhhh! Pole mwanamke ambaye hana uelewa na hasira za ghafla kiasi hiki si vizuri kuwa naye maana kila siku ni mitafaruku tu ambayo haina kichwa wala miguu. Si ajabu kuna njemba nyingine pembeni inampa kiburi. Kubali tu yaishe na hivyo kuamua kutupa jongoo na mti wake.

Niko kwenye mahusiano na nampenda sana huyooo mtoto wa kike nina future naye... na ni muamnifu kwake sana.

Kiukwel tangu niwenae sijawah kuwa na mahusiano na msichana mwingine yaan sijawah kumcheat hata kidogo na wala sifikirii coz nampend na ananipenda... lakin she is always blaming me kuwa simjal na tukigombana kidogo tu ananuna snaa na anataka tuachane...
wamba mm simjali..

Kwa mfano juz aliniambia nimtolee pesa bank nikamwambia nenda mjini naweza kuchelewa kurudi kwa sababu njia anayopita kwenda kazini na anaposhukia kwenda kazini ni kama mita 100 tu umefk kwangu so.

Nikamwambia nenda kwangu kuna pesa nimekuachia kachukue... baadae akanpgia smu kwamba mimi nimeshachelewa kwenda kazini, nikamwambia kwan si unashukia pale mitaa ya kwangu kwa nini tu usiipitie hiyo pesa si ni kama dk 5 tu alafu unaenda kazini?

Akachukia akakata simu, anasema hanielewi na hawez kuwa na mimi anataka tuchane...
 
Hivi kumbe bado kuna watu wenye mapenzi ya dhati?maskin form1 wa mapenz katka ubora wake
 
Mapenzi ya run dunia..uyo bado mdogo trust me hamtafika popote apo akidanganywa tu kidogo hashikiki
 
Masikini, mara nyingi mtu kama unampenda huwa hutaki kusikia watu wakisema muache hata kama anakuzingua vipi?

Ila huo ndo unakuwa ukweli.

Wanawake wanavyojua kupenda, mwanamke akikwambia tuachane achana naye.

Mapenzi ni kupendana sasa kama mtu anakutamkia 'sikutaki' ogopa!

Jione una thamani kuliko yeye kama akikuacha amepoteza kitu cha thamani.

Hebu jaribu kumchunia, usimpigie simu wala kum text kwa siku tano uone kama atakukumbuka, ukiona kauchuna, mpotezee!

Hakutaki anakutumia tu, na inaonekana amebadilika muda ila ulikuwa hujamgundua au kuna dalili alikuwa anazionyesha.

Acha kuendekeza mapenzi, atakupa shida mbeleni.

Achana naye wala hutakufa.

Unaijua filamu ya Kanumba 'crazy love?'
 
Ndo unasema anakupenda huyo!? Kalakabaho....... Utoto unakusumbua... Inaelekea bado hujafikia kujaza sha**wa kwenye kikombe.
 
Back
Top Bottom