HujiaminiDUUH...
HATA MIE NA DEMU WANGU TUKO HIVO HIVO..
TATIZO DEMU WENYEWE MZURI, ANAJISITIRI HALAF NAMPENDA ACTUALLY...
TATIZO NAHISI NIKIMPIGA CHINI KUPATA MWINGINE WA NAMNA YAKE......!!!!
#Chief Eng
Yea si ulikuwepoAcha fiksi sema alikupiga chini!
Ooooh kumbeeedanger zone hiyo ni kwa kipindi tuu atakaa sawa..usijali...pia kuwa muwazi kwake kwa kumwambia hupendezwi na hiyo tabia yake ya kuzira..ajirekebishe ...lakini kama inatokea kwa mwezi mara moja ..usiogope ndo tulivyo tukiwa hatarini au tukikaribia..hebu chunguza ni kipindi gani anakuwa hivo...