Mpenzi wangu anapiga punyeto

Mpenzi wangu anapiga punyeto

Duuh! Hivyo inaelekea huyu wa mleta uzi atakuwa hiyo level ya mwisho. Sa sijui kama anaweza badilika.

Ila twende mbele na nyuma swahiba mpaka hapa najionea Punyeto sio kama athari zake ni hizo aisee.
Ni kweli swaiba sio nzuri. Kubadilika inawezekana sana tu, kama jamaa ataamua kuacha mwenyewe na huku bibie akimuassist kwa uvumilivu mkubwa.
 
ongea nae mwelezee madhara ya hiyo kitu na mueleze kuwa unampenda sana hupendi afanye hivyo na wewe una uwezo wa kumridhisha mpaka afurahi. ataacha .usioneshe kushtushwa sana utazidi kumchanganya.mfanye aone kwamba jambo analofanya ni la kawaida kabisa lakini ulitamani umpe tunda afurahie zaidi ya hapo. pole sana
 
labda huyo jamaa wake ajawa na mwanamke mda mrefu itachukua muda labda wazoeane kwanza ndo ataweza simamisha vijana waache huu mchezo sio mzuri dawa yake ni kuangalia madhara zaidi sio utamu
Kweli kabisa mkuu sababu kama hali ndio hiyo huo mchezo haufai kabisa.
 
ameathirika kisaikolojia huyo hata mwanamke akivua nguo uume hautasimama.so unahitaji kuongea nae sana na muda mwingi uwe nae. uyafanye haya yote kama unampenda lakini. otherwise to hell..
 
Mmh. Kwani wanaopiga hayo mapunyeto huwa hawana hisia na wanawake au ni kwa sababu hawana wanawake ndio sababu wanaona hiyo punyeto ndio suluhu?

Nauliza tu sababu naona kama kuna ukakasi hapa.
Wanazo na wana wanawake hata wa 3 ,the thing iz unakuta ameanz mchezo zamani so kuuacha ni taabu mno,
 
jamani papuchi ilivyotamu paja tu mie nabaki hoi je mtu akiwa naked si ndio basi
 
Kweli kabisa kaka sababu sioni kama ina faida ikiwa mtu akishatumbukia huko ni ngumu kutoka.
Faida zipo hakuna mizinga na kupata kaswende cjui gono na HIV labda upate kwenye ugali
 
Hitler aliua wayahudi mil5 kwa kipindi cha maisha yake but kuna niggas wanaua billions of people kwa kutumia mkono tuu
 
Mi nadhani ni kawaida yao kama mwanaume hajishughulishi na wanawake hovyo
 
Back
Top Bottom