Mpenzi wangu anapiga punyeto

Mpenzi wangu anapiga punyeto

Hivyo ikizoeleka mwanamke hawi na thamani mbele ya hiyo kitu. Duuh.

Pole yao. Ila si huwa inaweza kuachika hiyo kupiga punyeto?
Wanaopiga nyeto ni sawasawa na watu wanaobet wanapoanza ni vigumu kuacha ila inahitajika elimu juu ya athari zinazosababishwa na punyeto ili watu wakawa makini kujihusisha nahii starehe yao chaputa
 
huoni jamaa ameletewa papuchi mwanamke amevua nguo kabaki mtupu lakn jamaa anaona kawaida tu
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini swahiba na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
 
Mmh. Kwani wanaopiga hayo mapunyeto huwa hawana hisia na wanawake au ni kwa sababu hawana wanawake ndio sababu wanaona hiyo punyeto ndio suluhu?

Nauliza tu sababu naona kama kuna ukakasi hapa.
Swaiba siku zote mpiga punyeto lazima avute hisia kwamba anafanya mapenzi na mwanamke fulani anaemvutia (hawajakosa hisia na wanawake)

Mtu akiwa addicted na punyeto humuwia vigumu sana kuacha, hata awe na wanawake kama mfalme Sulemani asipopiga pull haridhiki kabisa. (Kutokua na mwanamke inaweza kua sababu na kwa other side isiwe sababu)
 
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
true dat
 
Wanaopiga nyeto ni sawasawa na watu wanaobet wanapoanza ni vigumu kuacha ila inahitajika elimu juu ya athari zinazosababishwa na punyeto ili watu wakawa makini kujihusisha nahii starehe yao chaputa
Kweli kabisa kama ina athari hivyo ni vyema ikatafutiwa tiba ambayo ni elimu yenye kuelezea hasara na faida pia kama zipo ili kuokoa kizazi cha vijana wanaojitumbukiza huko.
 
Swaiba siku zote mpiga punyeto lazima avute hisia kwamba anafanya mapenzi na mwanamke fulani anaemvutia (hawajakosa hisia na wanawake)

Mtu akiwa addicted na punyeto humuwia vigumu sana kuacha, hata awe na wanawake kama mfalme Sulemani asipopiga pull haridhiki kabisa. (Kutokua na mwanamke inaweza kua sababu na kwa other side isiwe sababu)

Kama nimekuelewa vizuri hivyo wale wa punyeto haiwezekani kutokuwa na hisia hata kidogo kwa mwanamke au zinapotea zote?
 
Kama inavyosomeka hapo juu
Nimekuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa miezi mitatu,lakini cha kushangaza alikuwa haniombi mchezo,nikawa najiuliza huyu kaka miezi mitatu sijawahi kusikia hata akiniomba mchezo kama walivyo wanaume wengine ambao wiki moja tu ameishaomba mchezo.

Basi juzi nilimuomba makusudi nikamsalimie kwake,akakubali,nilipofika kwake na kwa vile nampenda niliamua nimchezee ili ajue kuwa nataka mchezo
Nikawa nimekaa naye kwenye kochi namtomasa tomasa,nikaona kama anataka,nikanyenyuka nikavua nguo nikaoge kwanza,nilipo maliza nilimshika mkono tukaingia chumbani,basi tukaanza kuchezeana lakini dudu yake haikusimama,nikabembeleza hakuna kitu,basi nikamuuliza una matatizo gani?akanijibu labda ana stress,mawazo,labda siku nyingine itasimama,basi nikamuaga akaniitia tax nikaondoka,ila wakati tunaondoka kama mita 200 nikamwambia driver nimesahau hereni zangu nirudishe nikachukue,dreva akanirudisha,nikashuka na kuingia ndani bila hodi,chumba chake kina bafu humo humo,nilipoingia hapo chumbani nikasikia sauti kama yupo mchezoni,nikajiuliza huyu mwanaume ana nani bafuni ambaye wanafanya naye mambo,kwa kweli sikuvumilia nikafungua mlango,paap namkuta mwanaume anachua uume wake mpaka anakojoa shahawa,nikasikitika sana,nikamuuliza kulikoni mbona hivo, akakasirika na kuniambia niondoke,basi nikaondoka,hata sikuchukua hizo heleni, nikachoka mwili mzima,na kutikisa tu kichwa.
Najiuliza nimsaidiaje huyu mwanaume,? Ushauri wenu tafadhali
Puchu ni ajabu? Hukujua anahitaji nn mpaka kuamua kupiga punyeto?

Mpe tunda bana
 
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini swahiba na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
Huyo keshajiharibu yaan amefunguliwa kipochi manyoya wala hashtuki ni tatizo sana
 
Hivi hadi sasa hivi kuna wanawake ambao hawajui kuwa punyeto ni tamu kuliko k?

Hapa naskikiza Dw habari nasubiria iishe nikapige kimoja akili akae sawa baada ya miangaiko ys siku ya leo....

Poleni sana wanawake uchwara...
 
Kweli kabisa kama ina athari hivyo ni vyema ikatafutiwa tiba ambayo ni elimu yenye kuelezea hasara na faida pia kama zipo ili kuokoa kizazi cha vijana wanaojitumbukiza huko.
Yeahp dada emmyta na kinachowathiri zaidi ni kuona filamu za ngono inabidi waache"
 
Back
Top Bottom